Nawahi mno kufika..

mama lubango

Member
Aug 16, 2011
56
8
wapendwa kuna m2 anafaham mahal naweza pata dawa ya kunichelewesha kufika kilelen?! NB: Ni kwa ajil ya rafik yang wa kike kaniomba msaada yeye c member wa jf

Dawa ya nini?? Kwa mwanamke yeyote kuwahi fika safari in most cases ni bahati...
yaani hana hata shida ya kua na wasi na partner.. for huyo mwanaume wake atakua
yupo relaxed kua kila akiridhika na huyo mpenzi wake karidhika pia...

tatizo ni kwamba huyu m'ke akifika kilelen huwa hatak kabisa mwenzie aendelee & mech stimu zote huwa zinamkatika palepale kiac kwamba anaweza kukihama chumba & kumwacha mwenzie kaambulia patupu ndo maana anaomba huo msaada juu kama upo

Jina lako lilinifanya ni assume ni mwanamke.... This post however inaonesha ka vile a guy..

After a week nitaku pm - na suggestion yangu... for leo siwezi kabisa... nikisahau na you

still need more answers utanikumbusha... However sio guarantee kua ndo jibu sahihi...

Best of Luck... na nina imani other members watakuja ja ushauri zaidi...

Love hadi tusherehekee Iddi kwa amani kabisa.....

Inaonyesha huyo dada huwa anapania sana kuzinga badala ya kucheza kombolela, chezeni kombolela mpaka afike gorofani pumzikeni halafu mcheze huo mdunguano, itasaidia ...

I wish i had that type of a woman!
Kweli kibaya kwako, kwa mwenzio dhahabu!
Huyu mwanamke hajajua thamani ya mwili alio nao hadi anatafuta kuubadilisha!...Goosh!
Mwambie asionje kabisa viagra ya kike, atajiharibu!...Hajui wanawake asilimia kubwa wanafika menopause hawajajua kufika kilele!

Nilitaka niseme natamani ningekuwa mimi wengine hatufiki yeye anasema hapendi dah haya bana

mwanaume anapotumia condom nisababu pia ya kumfanya hakawie sana,, ivyo basi, anaweza mwambia jamaa yake wakatest kavu pia.., pili jamaa akipunguza romance itasaidia but mwanamke anatakiwa kua open na jamaa yake nn anataka,,,

Nilitaka niseme natamani ningekuwa mimi wengine hatufiki yeye anasema hapendi dah haya bana
Na hii kadhia hapa chini unaiongeleaje? nayo ungependa pia?

tatizo ni kwamba huyu m'ke akifika kilelen huwa hatak kabisa mwenzie aendelee & mech stimu zote huwa zinamkatika palepale kiac kwamba anaweza kukihama chumba & kumwacha mwenzie kaambulia patupu ndo maana anaomba huo msaada juu kama upo

I wish i had that type of a woman!

Kweli kibaya kwako, kwa mwenzio dhahabu!

Huyu mwanamke hajajua thamani ya mwili alio nao hadi anatafuta kuubadilisha!...Goosh!

Mwambie asionje kabisa viagra ya kike, atajiharibu!...Hajui wanawake asilimia kubwa wanafika menopause hawajajua kufika kilele!

Hata mimi nimebaki namshangaa sana! Angejua wenzie wanavyoitafuta hiyo situation! Kweli huwezijua dhamani ya kitu hadi ukikose!

Hao bado wanacheza mechi za mchangani...Wakianza kuchenza pale Taifa watajua la kufanya.

Kwangu mimi hata kama sijapata bao..as longer as bibi yuko hoi najihisi nimemaliza kazi niliyotumwa na bwana.....

Mweleze huyo dada asiwe na shaka na aone kuwa anapata faida kuliko mtaji...Baada ya hapo anaweza kuanza shule ya concepts muhimu kama corporate social responsibility...(i.e kurudisha kidogo baada ya kupata faida kuuubwa kuliko ulivyotegemea)!!

Nimeeleweka??

Babu DC (1947)

Huo ni ubinafsi tu, na msipofikishwa kelele nyiingi?ok ngoja nikupe ujanja
kama umewahi na unasikia kero, fake orgasm ingine within 3 mnts huku
ukimsisitiza mmalize wote,hakuna dawa ya kuchelewesha ni akili yako unavyo i tune tu

Na unaweza fika hata mara tatu ukitaka, ukifika mwambie atoe mfanye romance upya
then mnaendelea,hiyo ni akili tu umejiwekea kwamba ukimaliza hutaki unaweza ukauambia
ubongo tena kwamba unataka na mambo yako fresh tu, ila mpe hongera sana huyo mumeo

Similar Discussions

Back
Top Bottom