nawachukia mindless people.

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
tena wengi wao nimekutana nao humu ndani et mtu anareply with quote sired yenye page mbil alafu anareply hata mstar mmoja haujai et anaandika ''We mkali kwel''
 
Kweli ni ujuha. Mwanzo nilidhani hawaelewi lkn nikaanza kuchunguza na kubaini wengine wao ni JF Senior Expert Members
 
haya angalia yaliyotokea ndani ya hi sired na yahusu!
 
Back
Top Bottom