William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
UTEUZI wa Jemsi Mbatia. Unamaanagani kwangu.
Ni siasa uchwala za kudili na watoa hoja na si hoja zenyewe.
Tabia hii huzalisha wanaharakati wengine wengi zaidi na mapinduzi hatari. Yani ni sawa na ndevu zikianza kuota ukizinyofoa au ukizinyoa ndio huota nyingi na zenye ushirikiano wa kutosha.
Cheo tena kisichokuwa na madaraka Ni hongo yenye nguvu zaidi kuliko hongo zote duniani kwa mwanasiasa.
Namifano mizuri tu.
Uteuzi wa Jusa kuwa Mbunge ulivyompofua macho.
Uteuzi wa zitto kwenye kamati ya kuchunguza mikataba ya madini ulivyomfanya kuwa mnafiki
Umakamu wa maalimu tena usio na madaraka ulivyomfumba mdomo.
Bilali mpinga muungano na
umakamu usiokuwa na kazi maalumu
alivyotulia
kutumika kwa mahakama Kulianza zamani ata Mandela na Mashudu Abiola ziliwafunga lakini mwisho wa siku ukombozi ukapatikana. Babu sea ipo siku atatoka na ataimba wimbo wa huzuni. Kesi za uchaguzi na epa zinatuuma.
Kama majeshi ata wakoloni walikuwanayo imara zaidi lakini waliondoka.
Wapinzani msinyamaze mkitegemea kuhongwa vyeo. Kwani mkikaa kimya ata milima itasema.
ZITTO alianza usaliti akashuka wakapanda akina Slaa,TUNDU LISU,MNYIKA,MDEE,WENJE, NA kamanda Lema
Ungetakiwa kudili na wabadhilifu na sio uteuzi
Zittooo! DENDA la uwaziri linamtoka. Unatamanishwa tu hupewi watamvua umwenyekiti wa chama
Mbatia ua NCCR bungeni kwani wanatabia ya kuungana na CHADEMA.
Toa kafulila anatusumbua kweli.
Mbatia
Navutiwa na JK NYERERE sio jk