nauza viwanja mbezi beach na jangwani bunju

Hodi hodi humu jamvini wanajamii, nimekua msomaji zaidi kwa muda , naamini nitapata muda nami niweze kuchangia yenye kulenga kuijega jamii yetu.
 
This looks like a mental case, umejiunga hapa 9th February lakini tayari umekuja na matangazo kibao!! mara unatafuta bwana, mara uliyenaye hakufikishi then viwanja!!?? hongera madame...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom