nauza video camera ndogo

cyruss

Senior Member
Jan 13, 2012
196
40
-.........
 

Attachments

  • DSCF4053.JPG
    DSCF4053.JPG
    663.3 KB · Views: 75
  • DSCF4057.JPG
    DSCF4057.JPG
    681.9 KB · Views: 69
Hebu mjifunze kutoka kwa Marty anavyotangaza vitu vyake humu ndani kila kitu anaweka hadharani yaani kuanzia picha,model,bei na namba yake ya simu hana mambo eti uni PM na maneno mengi ya kupotezeana muda
 
Mtu yoyote ambaye anataka video camera ndogo SONY, ina cable zake ZOTE including charger, utaweza kuchukua matukio mbalimbali yako binafsi hapo nyumbani na ofisini na hata kufanyia biashara, pia kuna CABLE YA KUCONNECT kwenye TV just after recording, pia INA INFRARED
View attachment 45348View attachment 45353
LIGHTING SYSTEM ambayo huweza kuchukua kitu katka GIZA kabisa, usichelewe bahati ni yako USISUBIRI kesho!!, ni pm na unitumie namb yako.

mkuu nime ku pm.pia jitahidi uweke bei hadharani
 
poa wakuu, marts nakuchek nw, jaluo nalifanyia kazi swala lako
 
hata mi nataka lakini siko tayari kukt pm weka mambo hadharani km kuna dosari tusaidiane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom