Nauza Toyota IST

Kayla

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
256
77
Nauza Toyota IST ipo katika hali nzuri,imetembea km.24,500,metallic silver bei Tsh.14,500,000 kama upo interested plz ni-pm ist.jpg
 
bei ya mwisho ni mil.14 ni gari mpya kabisa angalia km iliotembea hadi sasa ,ni gari ya mwaka 2003 ina cc 1290, document original zote zipo.
 
bei ya mwisho ni mil.14 ni gari mpya kabisa angalia km iliotembea hadi sasa ,ni gari ya mwaka 2003 ina cc 1290, document original zote zipo.

Hiyo bei ni ya showrooms,punguza kidogo ipo 9m
 
showroom ni mil. 15 na zinakuwa zimetembea kuanzia km 100,000 na kuendelea,imagine hiyo ni km 20,000 s' tuu..
 
showroom ni mil. 15 na zinakuwa zimetembea kuanzia km 100,000 na kuendelea,imagine hiyo ni km 20,000 s' tuu..

Mkuu utembeaji wa ulaya ni tofauti na utembeaji wa bongo,bongo inaweza tembea km 10000 tu na ulaya km 100000 lakini la bongo likaonekana limechoka kuliko lililotembea ulaya
 
u right lakin hata za show room pia zipo used from tz, lakin hii nimeagiza from japan and its only three month tangu nilipoiagiza na kutua bongo, nimetumia muda mfupi sana (two month or less) tokea ilipofika kwa mizunguko wa hapahapa mjini (dar).
 
Mkuu utembeaji wa ulaya ni tofauti na utembeaji wa bongo,bongo inaweza tembea km 10000 tu na ulaya km 100000 lakini la bongo likaonekana limechoka kuliko lililotembea ulaya

Mkuu umetisha wengi hawalijui hili,mie ukiniletea gari iliyotembea japan kilometer laki mbili na iliyotembea bongo kilometer elfu ishirini nachagua ya japan.
 
Mtu akiuza kitu chake haimaanishi ni kibovu pengine anahitaji kufanya replacement au shida binafsi, hata hivyo mnunuzi hawezi kununua kitu bila kukagua na kujiridhisha.. kwa hiyo mimi nauza kwa sababu zangu binafsi.
 
Tunashukuru mkuu tunaogopa tusije tukakusaidia hayo matatizo
 
hiki si kidogo kama swift au vtz, hii inatumiwa sana na watu gani kwa wadada au wanaume?
nauliza tu maana jinaume kuendeshe vitz unaonekana kituko
 
hiki si kidogo kama swift au vtz, hii inatumiwa sana na watu gani kwa wadada au wanaume?
nauliza tu maana jinaume kuendeshe vitz unaonekana kituko

Unaangalia ukituko au ufike unapokwenda?na mafuta yanavyopanda kila siku na hizo foleni unaangalia gari la kike au kiume?
 
pamoja na mafuta kupanda ndio nikanunu bajaji??

Nakwambia hivyo nina maana yangu,mimi namiliki chevrolet suv ya mwaka 1999 mara kwanza niliona ufahari lakini lilipokuja suala la mafuta nilikoma ni cc 4200 six cylinder chini ya lita tano gari haiwaki sasa kwa safari za kila siku kutoka bunju kwenda posta utatumia lita ngapi?nikaamua ninunue swift
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom