Nauza Suzuki Vitara 3-Doors

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,765
22,762
Suzuki vitara-Escudo iko katika hali nzuri,automatic transmission,petrol engine 1590cc,grey-metallic,127000km.Inatembea mwenye kuihijitaji ani pm bei ni 6.5mil.
 
Suzuki vitara-Escudo iko katika hali nzuri,automatic transmission,petrol engine 1590cc,grey-metallic,127000km.Inatembea mwenye kuihijitaji ani pm bei ni 6.5mil.[/QUOTE]

Hapo kwenye RED, ina maana ni sawa na bei ya 40 ft Container?
 
Huo mlinganyo wako kaka haufanani kabisaa, gari na container wapi na wapi? Kama unahitaji container unaweza kununua vitara? na kama unahitaji gari unaweza kununua 40ft container? Au sijakuelewa vizuri?
 
Ahahaaaaa...mkuu mbona una-dispose jembe hiloo??...unakuwa kama sio mangi??...hiyo kitu siina-4wd, inatumia 1ltr kwa minimum ya 12km?...anyway...mie yangu siuzi...labda mafuta yashuke bei ndo nitauza....
 
Huo mlinganyo wako kaka haufanani kabisaa, gari na container wapi na wapi? Kama unahitaji container unaweza kununua vitara? na kama unahitaji gari unaweza kununua 40ft container? Au sijakuelewa vizuri?
Kuna Uzi uliwekwa hapa asubuhi ukitangaza 40ft container likiuzwa kwa bei hii hii na baadaye ndo nikaona huu wa Vitara, then mlinganyo ukaanza pale. Anyway kaka, tayari nimemtonya mshikaji wangu mmoja hope akiweza tutakutafuta.
 
Suzuki vitara-Escudo iko katika hali nzuri,automatic transmission,petrol engine 1590cc,grey-metallic,127000km.Inatembea mwenye kuihijitaji ani pm bei ni 6.5mil.
Lamba 5 kesho asubuhi
 
Sasa kaka hiyo Vitara huwezi kuniondolea hiyo laki 5,kama nilivyokwambia,nimeipenda sana au nitafute gari nyingine tubadilishane ambayo utaipenda?
 
si bure wewe ni mchanaga tena wa Kimara maana ndio magari yao na ndiko wanakoishi
Sasa kaka hiyo Vitara huwezi kuniondolea hiyo laki 5,kama nilivyokwambia,nimeipenda sana au nitafute gari nyingine tubadilishane ambayo utaipenda?
 
Toyota Premio na Toyota Carina (Not D-4 engines and in good condition)
 
kaka 6 unakula au umeshauza, inaonekana km umeirudia rangi, je ni baada ya kugongwa au rangi ilipauka?
 
uliposema inatembea ndo umenitisha.
manake ingekua haitembei??
kumbe kunako nako kazie.....!
 
kaka 6 unakula au umeshauza, inaonekana km umeirudia rangi, je ni baada ya kugongwa au rangi ilipauka?
Kama unazijua Suzuki vizuri ndani ya Bonnet kuna heat protection cover na nyingi huwa hazina kwahiyo kama gari yako unaipenda ni lazima Bonnet yako utaipiga rangi kila baada ya miaka 3 au 4. unless kama gari yako ni nyeupe au non-metallic.
 
si bure wewe ni mchanaga tena wa Kimara maana ndio magari yao na ndiko wanakoishi

kaka hapo nilopo-bold ndio tofauti inapoanzia..wewe hujaelewa kwann wachaga wanapenda suzuki??...

lile ni jembe mkuu kama unakuwa na suzuki masuala ya kubeba mizigo mpaka nusu tani kwenye suzuki ni fasta tuu, suala la kujenga mara unabeba cement ni fasta, suala la umefuga kuku kubeba chakula cha kuku fasta tuu pia usisahau jioni kwenda kula bia unatia maguu kama kawa na usisahau suala la services na spareparts ni kama unatengeneza gutta vile spea hadi vichochoroni bwasheee nimesahau mafuta ndio utaipenda suzuki inanusaa mangii....

ile kitu chalii si ina 4wd na njia za kimara full utelezi mvua ikinyesha wee unapasua tope kama huna akili nzuriii....halafu jumapili unamtia mama kilemee hapo mbele na watoto huko nyuma fastaaa unawahi kanisanii...UMEONA ILIVYOKUWA JEMBEEE.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom