Nauza sollar ya watt 80 pamoja na vifaa vyake!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Habar zenyu jf napenda kuwajulisheni kwamba ninauza solar ya watt 80 pamoja na bettry yake na inverter bei cheap.
 
weka bei mkuu!pia ni used au brand new? Ipo nchi,mji gan?manake Jf hata ukiwa COSOVO unapata kama upo manzese vile!
 
Weka bei, weka brand ya hiyo solar, taja ulipoipata sio kuja na watts 80 cheap ni za mchina, nyingi ni fake na hazidumu!.
 
Mkuu kuna wengine kama sisi ni layman fafanua kama inaweza ikabeba vitu gani,kuna watu wengine hatuelewi watt80 maana yake nini? kama ndo hivyo nafikiria mimi inauwezo wa kuwasha taa moja tu ya watts 80 basi,fafanua,maana nina tv yangu flat imeandikwa nyuma watts 340W,frige nweza nikaatumia,feni,radio,naweza piga na basi?? Fafanua
 
kumbuka hiyo watts80 bado haijaingia kwenye inverter. ikiingia kwenye inverter ndo umeme wenye nguvu unatoka
 
kumbuka hiyo watts80 bado haijaingia kwenye inverter. ikiingia kwenye inverter unabadilishwa na kuwa ac
 
Arusha sehemu gani nije kuiona maana ninahitaji au nipigie kwenye no.0715475192
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom