Nauza Sanyo Plasma tv 55'

Mnafikiri niuze bei gani. Ziko mbili
umeziiba ama??? uza elfu kumi kwa zote ...au peleka kagawe msaada waite TBC/ITV plus michuzi ..
haiwezekani ununue wewe halafu utuulize uuze bei gani ......:clock:
 
Nimenunua ila nataka kujua nakA usa
umeziiba ama??? uza elfu kumi kwa zote ...au peleka kagawe msaada waite TBC/ITV plus michuzi ..haiwezekani ununue wewe halafu utuulize uuze bei gani ......:clock:
 
Taja Bei na specifications zake? Je, made in ? Ilipotengenezwa? China au? Size? Zina risit isijekuwa kakabwa mtu.
 
Mnafikiri niuze bei gani. Ziko mbili

Inategmea unauza nchi gani. Plasma imepitwa na technology. Haina dili siku hizi unless umpate mtu wa kuja. You know that.
 
Ushauri wangu hizo peleka kwa wazazi upate baraka zao, maana sitegemei mtu mwelewa anaweza kuwekeza kiasi kikubwa cha pesa kwenye tekinolojia iliyopitwa na wakati!
 
zinatumia battery??
naishi Tanzania na sijafanikiwa bado kuweka solar wala jenerata.
kama zinatumia battery nasubiri bei nione kama naweza nunua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom