Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza palm top

Discussion in 'Matangazo madogo' started by vaikojoel, Dec 7, 2011.

 1. vaikojoel

  vaikojoel JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 1,967
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Nauza palm top tungsten t5! .Ipo katika hali nzuri,bei 120,000!
   
 2. B

  Beby Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina specification zipi?
   
 3. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,146
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  ndio kitu gani hicho?
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,150
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Toa specs zake....
   
 5. E

  Enny JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 930
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ndio nini hicho tunaomba kueleweshwa
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 50,532
  Likes Received: 9,331
  Trophy Points: 280
  Nyie mnaouliza ndio nini hicho, mmeshindwa hata ku google kujuwa ni nini hicho? hiki hapa:
  [​IMG]
   
 7. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 4,166
  Likes Received: 1,512
  Trophy Points: 280
  kwa jan lingne inajulikana kama personal digital assistance (PDA)
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,932
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huna haja ya kujibu kwa jazba
   
 9. M

  Mlabondo Senior Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naitaji kwa laki Kama poa nijulishe 0786221160/0653271160/0777281160
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 6,558
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Athante ,Vaiko(mwenye) alitakiwa aweke hivi ulivyoweka kwani yeye ndie muuzaji ,na unapouza kitu unatakiwa kitu unachokiuza kieleweke kwa urahisi ,sio mpaka imteja aanze kuuliza maswali mengi,kuna chapa zingine hazijulikani,ingekuwa chapa ya Nokia au samsung kusingekuwa na maswali mengi,pia huyu ndugu alitakiwa atoe maelezo au ufafanuzi kidogo je ni mali mpya au imetumika ,au imefungwa au haijafungwa (unaweza kutumia mitandao ipi) au ina tatizo/haina tatizo na inasaidia kwa kazi zipi,hapo hata mteja anavutika.Sasa mpaka FF atutolee ufafanuzi wakati biashara si yake inabidi umkatie ganji ukiuza
   
Loading...