Nauza nyumba mbezi mwisho

tabu kuishi

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
353
43
Ina room 3 moja ni master, jiko sebule , dining na vyoo vya ndani. Gari inafika hadi mlangoni bei yake ni tshs 25,000,000/= nyumba imekamilika mtu anahamia tu kwa maelezo zaidi 0712976729
 
Mbezi, ipi Mkuu, haiko kwenye njia?, maana hayo maeneo yana utata kidogo
 
Iko umbali gani kutokea barabara ya Morogoro,vipi maji na umeme vipo na iko fenced or not?
 
km 3 kutoka moro road maji hamna ila na plan ya kuchimba kisima umeme upo mita 600 unakujaa kwenye nyumba
 
Ina room 3 moja ni master, jiko sebule , dining na vyoo vya ndani. Gari inafika hadi mlangoni bei yake ni tshs 25,000,000/= nyumba imekamilika mtu anahamia tu kwa maelezo zaidi 0712976729

Nyumba Tshs25,000,000???
 
ndugu yangu kama huhitaji hulazimishwe kwani nyumba zipo za kila bei kutokana na elivyo
 
Nyumba Tshs25,000,000???

kwani haiwezekani? Kwa maelezo yake inaonekana haijawekewa umeme, so kuna gharama nyingine hapo. Tatizo ni kwamba muuzaji hajatelekeza iwapo nyumba hiyo ni kuukuu au ni mpya, na pengine angetuwekea picha tungejiridhisha zaidi. Aidha bei hiyo si mbaya, nyumba si lazima inunuliwe kwa Tshs50,000,000 ndo ujue ni nyumba
 
Ina room 3 moja ni master, jiko sebule , dining na vyoo vya ndani. Gari inafika hadi mlangoni bei yake ni tshs 25,000,000/= nyumba imekamilika mtu anahamia tu kwa maelezo zaidi 0712976729

Tuwekee picha mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom