Nauza nyumba kwa unavyoiona kwa bei nzuri

Acha upuuzi Amsterdam haya mambo unasema yako yameshamtokea nani?au wewe?acheni uzushi.Nilikueshimu kwa hilo jina lako kumbe una uswahili kihivyo?
hapa pia inaniaminisha akili yako ni changa unaweza kuuliza kuna ubakaji na alishabakwa nani?????????
 
sasa ngoja nikupe mfano halisi kuna sehemu moja mji wa kigamboni miaka ya nyuma sana wakati natafuta sehemu yakupanga nyumba maana nilikuwa nafanya kazi hapo posta ,nilikutana na dada mmja ambaye ni rafiki yangu nikamweleza kuhusu natafuta nyumba yakupanga maeneo ya feri just ukivuka tu,cha kwanza aklinionya nakuniambia hizi nyumba usipange kuna haya mambo kuwa wote wanaoishi pale wanalawitiwa usiku hata watoto wadogo,narudi kwa mtoa mada Akiri najua anaufahamu mji wa kigamboni vizurisana unapafahamu pale kwa dr bajaji oposite palikuwa panajaa maji sana sasahivi wameweka kamtaro kanasaidia saidia pale kuna kama uwanja uwanja hivi na nyumba 2 hazikaliki na ni nzuri tu na inaonyesha zilitumika kidogo sasa pale ndio mchezo huo mpaka watu wakakimbia na nyumba zinaharibikia pale,haya mambo yako mkuu wangu na kabla hujanunua onea na wazawa kwanza dunia ina mengi hii mkuu.

Mkuu Amsterdam hiyo mie siamini kabisa mie kwangu naona ni vitu vya kufikirika.
 
Mkuu inaonesha wewe ni mzoefu wa kulawitiwa. mbagara kuna wananchi wengi sana wanaishi kama wewe ulilawitiwa mbagara haina maana kwamba eneo lote liko hivyo . na inawezekana mi nandika hapa lakini wewe kuna mtu anakulawiti huko uliko na ni eneo tofauti kabisa na mbagara,.

Lool, kwa mipasho hii mimi najitoa rasmi kwenye hili sekeseke la kuipenda hii nyumba. Nasubiri hali ya hewa ikitulia nitarudi.
 
Asanteni wadau kwa michango yenu ya mawazo inachangamsha sana jukwaa letu
 
Lool, kwa mipasho hii mimi najitoa rasmi kwenye hili sekeseke la kuipenda hii nyumba. Nasubiri hali ya hewa ikitulia nitarudi.
usikimbie mkuu c unajua tena jamvini ni mzaha tu wa hapa na pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom