nauza nyumba kigamboni near mikadi beach

survivor03

Senior Member
Jan 10, 2012
131
21
Nauza nyumba ipo tuamoyo kigamboni karibu na maeneo ya mikadi beach. Ukubwa440 sqm imepimwa ina offer na hati ya majengo, ina vyumba 11 na ina umeme. Contact 0715388666
 
Unataka kuwaingiza mkeze wenzio! Kigamboni kuna stopping order ya tangu 2008 mpaka leo. Tuamoyo huwezi kuuza wala kununua ardhi kwa shamba.[pottptppoiioopoiiuiiiQiiopooiooooiopoiqioioyUOTE=survivor03;3120089]Nauza nyumba ipo tuamoyo kigamboni karibu na maeneo ya mikadi beach. Ukubwa440 sqm imepimwa ina offer na hati ya majengo, ina vyumba 11 na ina umeme. Contact 0715388666[/QUOTE]
 
Unataka kuwaingiza mkeze wenzio! Kigamboni kuna stopping order ya tangu 2008 mpaka leo. Tuamoyo huwezi kuuza wala kununua ardhi kwa shamba. Ndugu naona bado hujapata taarifa ya sasa bado una habari ya mwaka 2008. Uliza uambiwe, nov 11, 2011 bungeni kumezungumzwa kuwa stop oder imekwisha ya miaka 3, na wananchi wanaweza kuuza nyumba zao na kuendelea kujenga kwa kuchukua kibali kutoka ardhi. Na isitoshe kumepanda chati zaidi juzi mkataba umeshasainiwa wa kujenga daraja kwa zaidi ya 200 billion. kwa hiyo tushirikiane swaiba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom