Nauza...NYUMBA...jamani

Status
Not open for further replies.

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Ipo chanika, eneo la kinyamwezi-DSM.
  • Imejengwa boma lililokamilika kwa ustadi na halijaezekwa.
  • Ina vyumba 3 vya kulala, sitting room, kitchen, dinning, mini-store na vyoo vya ndani.
  • Ina verandah ya mbele na nyuma.
  • Ina eneo zuri litoshalo fence ya kutosha.
  • Umeme umeshafika eneo hilo.
  • Panapimika ila kwangu sikufaulu kupima shauri ya ukata.
  • Eneo lina ukubwa wa UREFU-HATUA 40, UPANA-HATUA 30.
  • Gari inafika mpaka nyumbani.
  • Mimi ndie mmiliki, si mtu wa kati wala dalali.
NB: Ninauza shauri ya ukata na hali ngumu ya maisha, bei ni mil. 15 (Dalali hatakiwi).
For serious buyers piga 0779-333334 au 0715-988888
 
.......Vp upo tayari kupunguza bei? Ungeweka na picha sasa, ili tuone nyumba yenyewe.
 
.......Vp upo tayari kupunguza bei? Ungeweka na picha sasa, ili tuone nyumba yenyewe.
Maongezi yapo mkuu,
Unaweza kuwasiliana nami thru namba nilizobandika hapo, nimekuelewa.
 
Nyumba nzuri kwa kweli, nachukua namba yako kama bado itakuwa haijampata mtu mpaka wakati nakupigia basi nitakuja mwenyewe.
 
Nyumba nzuri kwa kweli, nachukua namba yako kama bado itakuwa haijampata mtu mpaka wakati nakupigia basi nitakuja mwenyewe.
Karibu sana, UITAZAME, UJIRIDHISHE, TUKUBALIANE NA KISHA TUFANYE BIASHARA.
 
Kwa jinsi nilivyochelewa kuuona huu uzi naamini nyumba yangu ushaiuza...kama zali ni langu na hujaiuza pleaseeee nijuze fasta pm na tupange kwenda kulipana pesa...

Naandaa draft contract naomba na ww uanze kuandaa mashahidi wako wawili.... Malipo serikali za mitaa na tra yote yatakuwa juu yako...sawa mkuu?
 
Dear JF members/visitors,
Napenda kuwashukuru kwa uaminifu wenu kwangu mdau mwenzenu hapa JF, hii ni mara ya pili naitumia vema JF katika kutafuta bidhaa na kuuza property tena kwa uaminifu kwa members wenzangu.
Naiarifu thread yangu hii kuwa 'TAYARI NIMESHAUZA PROPERTY HII KWA MEMBER MWENZETU HAPA JF'.
Kwa mara ya kwanza najitokeza kuushukuru uongozi na moderators wa column hii, Mola ailinde na aifanye JF iwe ni sehemu muhimu, yenye uhakika, yenye kuaminika na tuitumie vema kwa kuipenda. Naimani sote tukiwa makini na kujiaminisha, hakika JF itavuka hapa ilipo na kuwa ni zaidi ya chombo muhimu hususan hapa kwetu Tanzania. Hivyo napenda kuwaarifu wadau wote wa JF, kuwa biashara hii tayari NIMEIFUNGA/IMEKWISHA.
Long Live JF & the entire leadership.

Mpevu.
 
jamani nimesikitika,nadhani haikuwa bahati yangu...mkuuu hongera kwa kuuza nilipata first instalment...ila nikawa sina uhakika na second na third,nilitegemea kuuza pagale langu ndio ninunue ndio maana nikawa kimya....anyway labda nitapata nyengine ngoja ninagaze macho huku jamiiforum lol
 
Dear JF members/visitors,
Napenda kuwashukuru kwa uaminifu wenu kwangu mdau mwenzenu hapa JF, hii ni mara ya pili naitumia vema JF katika kutafuta bidhaa na kuuza property tena kwa uaminifu kwa members wenzangu.
Naiarifu thread yangu hii kuwa 'TAYARI NIMESHAUZA PROPERTY HII KWA MEMBER MWENZETU HAPA JF'.
Kwa mara ya kwanza najitokeza kuushukuru uongozi na moderators wa column hii, Mola ailinde na aifanye JF iwe ni sehemu muhimu, yenye uhakika, yenye kuaminika na tuitumie vema kwa kuipenda. Naimani sote tukiwa makini na kujiaminisha, hakika JF itavuka hapa ilipo na kuwa ni zaidi ya chombo muhimu hususan hapa kwetu Tanzania. Hivyo napenda kuwaarifu wadau wote wa JF, kuwa biashara hii tayari NIMEIFUNGA/IMEKWISHA.
Long Live JF & the entire leadership.

Mpevu.

Pole mkuu kwa masahibu yaliyokufanya uuze asset( liability?) yako muhimu katika kujiendeleza kimaisha.Naungana na wewe kuomba Mungu JF isivamiwe na "wanaijeria"
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom