Nauza mayai ya kuku wa kienyeji

Mparanyanga

Member
May 20, 2010
28
5
habari wandugu,ninauza mayai ya kuku wa kienyeji, kwa mtu anayehitaji no zangu ni 0712 25 90 21 na 0754 255 734, tray moja ni sh 14000tsh.
 
Hebu tuwekee unapatikana maeneo gani kabla hutujachoma vocha. Dar au nje ya Dar? Kam Dar weka maeneo gani unapatikana. Weka taarifa zinazojitosheleza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom