Nauza mafuta ya alizeti

MkimbizwaMbio

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
868
331
Nauza mafuta ya alizeti. Ni pure kutoka singida.
Hayajachakachuliwa.
Dumu la lita tano ni shi. 18,000
Na dumu kubwa 70,000

Yapo mengi ya kutosha
Wanunuzi naomba wani PM
 
uko wapi? Mi ni mpenzi na mtumiaji mzuri sn wa mafuta hayo tafadhali weka mambo hazarani UKO PANDE ZA WAPI?
 
Nauza mafuta ya alizeti. Ni pure kutoka singida.
Hayajachakachuliwa.
Dumu la lita tano ni shi. 18,000
Na dumu kubwa 70,000

Yapo mengi ya kutosha
Wanunuzi naomba wani PM
kaka mi nataka mashudu ya alzeti -- kuanzia tani 5 hadi 30. tufanye dili
 
Niletee dumu la lita 5 kwanza niyajaribu, yakiwa mazuri kweli hayajachakachuliwa nitakuagiza hayo makubwa. Natumia lugha kama yako, so, niletee mteja mie, sitanii!
 
Tangazo limepwaya mno kama upo serious rekebisha kwa kuzingatia maswali uliyoulizwa. Na hilo dumu kubwa la 70,000/= ni la lita ngapi ?
 
kaka bei yako kubwa sana, mafuta ya alizet lita 5 ni tsh 15,000 tu, wacha utapeli kila kitu mnapandisha bei tu!
 
kaka bei yako kubwa sana, mafuta ya alizet lita 5 ni tsh 15,000 tu, wacha utapeli kila kitu mnapandisha bei tu!

hiyo bei ya sh. 15,000 kwa lita 5 ni ya dar au wapi? umeambiwa yametoka singida. mi nipo dodoma na bei ya lita 5 ni sh. 15,000 na lita 20 ni sh. 60,000. sasa bei ya sh 15,000 kwa lita 5 kwa dar ni pamoja na usafiri maana alizeti hailimwi dar
 
Tangazo limepwaya mno kama upo serious rekebisha kwa kuzingatia maswali uliyoulizwa. Na hilo dumu kubwa la 70,000/= ni la lita ngapi ?
<br />
<br />
Bei Sunflower Oil 20 ltr Tsh 68500,5 ltr Tsh 17125 hii product itakuwepo sokoni from Jumatatu next week more details to come.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom