Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza machine ya kutengeneza chaki

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mama Joe, Feb 23, 2012.

 1. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,510
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Habari jamani, ninauza machine hiyo ni nzima imetumika sio zaidi ya mwaka. Ilinunuliwa SIDO Moshi kwasasa ipo Dar.
  sababu ni kuwa ninashughuli nyingi ninakosa muda wa kusimamia hii biashara. Bei ni tsh 800,000 (laki nane tu)
   
 2. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hii machine yako inapingana na Teknohama, Jaribu kwenda na wakati na bora uiweke stoo au uza kama chuma chakavu
   
 3. b

  bazahra Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  naomba number yako ya simu,yangu ni 0716629432, kwa 400000/=huuzi?
   
Loading...