Nauza laptop na projector bei nzuri sana.

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
857
394
Laptop Toshiba Satellite J60,RAM 1GB,HDD 40GB,SPEED 2.6GHz,CD ROM. BEI 150,000 IMESHAUZWA

EPSON PROJECTOR iko safi kabisa. BEI 380,000

SELLING REASON:Need some quick cash to resolve a certain issue. Contact 0717 017 820

UNAVYOZIONA PICHA NDIVYO MASHINE ZILIVYO.
 
Attachments

  • toshiba_j60.jpg
    toshiba_j60.jpg
    18.5 KB · Views: 175
  • proj.jpg
    proj.jpg
    7.5 KB · Views: 182
Hiyo projector ni mpya au used. Kama used ina remaining bulb hours ngapi? My offer is 300 thau...if interested text me on O713531906 and we will do business.
 
Mkuu hizo picha ni za bidhaa halisi au umezi'google tu kama mfano.

Mkuu nimetumia model zake ambapo ndivyo zilivyo siyo halisi ziko exactly kama uonavyo hapo,in good condition nikuwasha na kutumia tu
 
Hiyo projector ni mpya au used. Kama used ina remaining bulb hours ngapi? My offer is 300 thau...if interested text me on O713531906 and we will do business.

Mkuu ina hours zaidi ya 3000 unamiaka kadhaa ya kuitumia kwa ofa yako siyo mbaya lakini ninauhakika na mashine yangu so bei niliyoweka ndiyo final otherwise nitaendelea kuitumia mwenyewe.
 
Mkuu ina hours zaidi ya 3000 unamiaka kadhaa ya kuitumia kwa ofa yako siyo mbaya lakini ninauhakika na mashine yangu so bei niliyoweka ndiyo final otherwise nitaendelea kuitumia mwenyewe.
mkuu hapo kwenye red si lugha sahihi ya kibiashara,kuhusu laptop ngoja nimcheck jamaa yangu mmoja alikua anaitaji then ntakutafuta.kwa wewe upo wap?
 
mkuu hapo kwenye red si lugha sahihi ya kibiashara,kuhusu laptop ngoja nimcheck jamaa yangu mmoja alikua anaitaji then ntakutafuta.kwa wewe upo wap?

Asante kwa ushauri ingawa maana yangu haikuwa ieleweke kama ilivyoeleweka,mimi huwa sipendi nikwambie bei ya juu ili tushushane kama Mr Ebo,ukiiona hiyo projector utakubaliana na mimi kwamba bei iko fair.
 
Laptop Toshiba Satellite J60,RAM 1GB,HDD 40GB,SPEED 2.6GHz,CD ROM. BEI 150,000

EPSON PROJECTOR iko safi kabisa. BEI 380,000

SELLING REASON:Need some quick cash to resolve a certain issue. Contact 0717 017 820

UNAVYOZIONA PICHA NDIVYO MASHINE ZILIVYO.

mkuu hiyo Laptop betri inakaa muda gani na ina matatizo kwa ujumla then tuongee biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom