nauza laptop compaq

lonesome

Senior Member
Oct 10, 2010
195
64
nauza latop compaq 610 in a ram 2 gb, hdd size 250, black nch 15.7. bado zpo fresh kabisa...bei ni lakh 680,000. simu 0768891102 tuwasiliane
 
hizo laptop ni mpya? au used. afu hujaniambia kuhusu processor.
pia plz sema uko wapi inaumuhimu wake


.:behindsofa:
 
kituko hebu kuwa serious bwana...hivi kuna HDD ya 250 MB? anyway ngoja tu nikusaiidie ni 250 GB . Processor ni Intel (R) Celeron 560 CPU @2.13 2.13 .
 
kituko hebu kuwa serious bwana...hivi kuna HDD ya 250 MB? anyway ngoja tu nikusaiidie ni 250 GB HDD . Processor ni Intel (R) Celeron 560 CPU @2.13 2.13 . mi napatikana dar es salaam. NI 2nd brand new..nadhan utakuwa umenielewa.kaka mpya kabisa utaipata wap kwa specifications hizo na kwa hiyo bei ya hasara? ila nakuhakikishia utazipenda coz ni kama zimetoka leo dukan. so kama unaihitaj tuwasiliane plz
 
nauza latop compaq 610 in a ram 2 gb, hdd size 250, black nch 15.7. bado zpo fresh kabisa...bei ni lakh 680,000. simu 0768891102 tuwasiliane
Ofisi yako iko mkoa gani? Maeneo gani? Maana biashara hizi inabidi ujulikane ulipo...ikisumbua upatikane personal!
Zinapungua bei?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom