Nauza Laptop aina ya acer bei nafuu

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
specification zake ni kama ifuatavyo...operating system: window 7, system manufacture: acer, system model: Aspire 5334, Webcam, Processor: Intel(R) celeron cpu @ 2.2 GHz, RAM: 3 GB, Hard disk: 250 GB, Betri ikiwa full inakaa more than 4 hours ukiwa unatumia bila kukonect kwenye umeme, Bei yake naanzia 530000(laki tano na thelathini) lakini maelewano yapo. ila tatizo lake ni kwamba lenzi ya dvd/cd drive imekufa hivyo haisomi baadhi ya dvd/cd just call me on 0713532322 kwa maelewano
 

Attachments

  • Photo0304.jpg
    Photo0304.jpg
    23.2 KB · Views: 83
  • Photo0302.jpg
    Photo0302.jpg
    12.6 KB · Views: 72
  • IMG_0174.JPG
    IMG_0174.JPG
    6.8 KB · Views: 267
  • Photo0305.jpg
    Photo0305.jpg
    14 KB · Views: 68
Back
Top Bottom