Nauza kwanja maeneo Goba kinzudi B

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Nauza kiwanja kiko maenoe ya kinzudi b ni sehemu tambarare kabisa. kina ukubwa 20x20. kama utaitaji wasiliana nami 0714500004
 
kutoka africana ni km 6 kutoka mbuyuni km 7 na kutoka tangibovu sina uhakika sana coz sikupima ila kama ukipitanjia ya kwenda goba unaingilia pale tatedo. bei million 6 tu. barabara ipo mpaka sehemu usika umeme uko karibu sana.
 
Mh nna changu maeneo hayo hayoo khaaa ngoja kesho nikakicheki usijekutwa kinauzwa mie sijui
 
kutoka africana ni km 6 kutoka mbuyuni km 7 na kutoka tangibovu sina uhakika sana coz sikupima ila kama ukipitanjia ya kwenda goba unaingilia pale tatedo. bei million 6 tu. barabara ipo mpaka sehemu usika umeme uko karibu sana.

Million 6? Mbona bei sana kwa mita 20 kwa 20!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom