nauza kiwanja

Chiwa

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
3,974
4,733
nimeangalia comment zenu zikanitosha kabisa baada ya miaka kadhaa nimerudi tena na kutaka kukiuza kiwanja hiki hiki ambacho kwa wakati ule nilibadili nia baada ya kupata utatuzi wa baadhi ya changamoto nilizokuwa nazo wakati ule.
kwa sasa nimerudi tena na safari hii nauza bila stress usiponunua tunabaki droo match wewe unabaki na hela zako na mimi nabaki na kiwanja changu.
hivyo aliye serious karibu pm kwa kuwa mauziano ni mkataba hivyo sio busara watu wote waelewe biashara inaendaje.
 
Anataka kututapeli huyu kweli kiwan ja Tgwangoma hata barabara haifiki labda kwa miguu
 
kajipange uje tena ukiwa na details, sio unakurupuka na ku2tajia kijiji chenu
 
mbona munamshambulia jaman?kama wahitaji kiwanja na kujua kipo tuangoma cha muhimu ni kumuuliza maswali ya msingi tuu!je unayo building permit?barabara inafika?umeme upo karibu?maji je yapo karibu?

Pia angeweka bei kabisa ili watu wajitume!
 
tuangoma ni maeneo ya kongowe Dar es salaam kama wewe unakaa benaco huwezi pajua.lakini viwanja vyenyewe kama vile bush kashavinunua.
 
acha jazba biashara matangazo na kujieleza vizuri!! weka bei location ukubwa umbali kutoka main road, je wewe ni dalali au ndio mmiliki? jieleze kama Muuzaji sio "nauza kiwanja" kama unasema naenda kukojoa
 
Twangoma ni wapi.....?
watoto wa masaki utawajua tu, kuna Tuangoma, Mwanekilato, Kimbiji, Tudwi songani, Gezaulole. Hivi vyote ni vile vijiji ya ujamaa vya mwanzo enzi la mwalimu miaka ya 70 kweusi kama ulisoma history. Huku ndiyo serikali yetu imepima viwanja baada ya kuwalipa wale wakazi hela kiduchu kiduchu.

Kutoka feli ni KM 17 kama unakwenda Kongewe - Mbagala.
 
Anataka kututapeli huyu kweli kiwan ja Tgwangoma hata barabara haifiki labda kwa miguu
hapana ni kweli Tuangoma viwanja vilipimwa i think 2008, na watu walipewa. sasa wengine wanauza. si utapeli.

Viwanja vilivyopimwa that time ilikuwa Kibada, Sokota na Tuangoma. so mzee kama una chenji jitupe upate kiwanja mitaa hiyo. Bababara ipo ya lami toka feli hadi kongowe. kama nilivvyosema Tuangoma ni kama km 17 toka feli.
 
mi cha kwangu kipo BUYUNI cha mradi pia ....nakiuza TZS6000/sq meter(bei ya serikali),kina ukubwa wa 2000sqM.kinalipiwa land rent kila mwaka toka 2007.
kwa sasa kuna mradi mkubwa wa PPF,wanajenga nyumba elfu kadhaa kule...barabara ni nzuri ,zilichongwa enzi za magufuli akiwa pale ardhi.
kwa nini nauza? jibu: nimegundua kumiliki viwanja bila nyumba sio deal mjini hapa,nakusanya funds niendeleze ujenzi.

anayehitaji aniPM pls
 
ni kweli nauza kipo block 11 plot namba 104 ukubwa mita za mraba 984 na mbele yake kuna open space unaweza kunipigia 0713226144

twangoma 001.jpg
 
Back
Top Bottom