Nauza kiwanja kwa heka Goba, zimebaki heka 8 bei poa

Rajabu Msechu

Member
Apr 13, 2016
35
18
Ahlan wa sahlan Mabibi na Mabwana, ningependa kuwatangazia wale wenye uhitaji wa kununua viwanja ni kwamba nina hekari zipatazo 9 Goba Njia Nne, kila hekari moja nauza kwa milioni 20 za Kitanzania, heka moja nimeshauza.

Hekari zote hizo hazina shida yeyote ni eneo langu halali na lina Documents zote muhimu sambamba na udhibitisho wa umiliki wa eneo husika.

Kwa atakayehitaji anaweza kuwasiliana na mimi moja kwa moja wakati wowote kupitia namba hizi

0774 88 89 94 au kwa barua pepe rajabumsechu@gmail.com.

Wote Mnakaribishwa
 
Hahaha...eti kipindi Cha Magu...ila kweli mzee. .kipindi hili 20M ni parefu sana.
Kaka si unajua mirija yote imefungwa ni mshahara hadi mshahara ukileta ujanja gereza linakwita. Watu tumefyata mkia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom