NAUZA KIWANJA KILICHOPIMWA HATI MKONONI 2000sqm-BUYUNI

Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
503
100
hello wanaJAMVI,
nauza kiwanja kilichopimwa,kina hati na kinalipiwa kodi ya ardhi kama kawaida.kina advantage nyingine kwamba kipo mwishoni na kuna eneo ambalo halijapimwa na halina owner(linamilikiwa kwa kugawana na ownwer wa land ya upande wa pili),ni tambarare na maeneo haya yameanza kuendelezwa kwa kasi.
Bei ni 10M hakipunguzwi wala hakiongezwa hata cent tano. if interested plz niPM.

KIPO BUYUNI MBELE YA PUGU SEC ILA KABLA YA CHANIKA.....SQ M 2000. ndo ukubwa wake.
 
Karibu na barabara mkuu? if not kutoka barabarani unaingia ndani umbali gani? Unapita Pugu Kajiungeni?
 
Karibu na barabara mkuu? if not kutoka barabarani unaingia ndani umbali gani? Unapita Pugu Kajiungeni?
Yes unapita,ni vile vya mradi wa wizara ya ardhi.barabara zimetengenezwa mpaka kwenye kiwanja.kutoka kwenye lami ni km 4 or less
 
mkuu cjui kwa nn najsikia kukuuliza sababu ya wewe kukiuza. Nisamehe kama nakukwaza....
 
mkuu cjui kwa nn najsikia kukuuliza sababu ya wewe kukiuza. Nisamehe kama nakukwaza....
no!siwezi kukwazika ndugu yangu. nilibahatika kuwa na viwanja viwili ,hivyo nakiuza ili nipate pesa niiongezee kujenga kwenye kiwanja kingine.
hivyo tu nothing else
 
hello wanaJAMVI,
nauza kiwanja kilichopimwa,kina hati na kinalipiwa kodi ya ardhi kama kawaida.kina advantage nyingine kwamba kipo mwishoni na kuna eneo ambalo halijapimwa na halina owner(linamilikiwa kwa kugawana na ownwer wa land ya upande wa pili),ni tambarare na maeneo haya yameanza kuendelezwa kwa kasi.
Bei ni 10M hakipunguzwi wala hakiongezwa hata cent tano. if interested plz niPM.

KIPO BUYUNI MBELE YA PUGU SEC ILA KABLA YA CHANIKA.....SQ M 2000. ndo ukubwa wake.

Mkuu usione kimya mtihani uko hapo kwenye redi, fanya marekebisho ya tangazo kwa kupunguza baadhi ya maneno hasa hayo ya redi uone kama hujakiuza fasta hicho kiwanja
 
Hell cheap! aisee kingekuwa Kibada kigamboni hapo haipungui milioni 25. Ila kipande hiyo mimi aaah...karibu sana na Pugu nilikosoma kiugumu ugumu naweza kuwa nakumbuka mchungu kila siku.
Kwa mwenye hela anunue, 2000 sqm kwa 10m ni bahati wakubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom