Nauza kiwanja jamani

Qulfayaqul

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
480
84
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20x23 kinauzwa, kipo kitunda kivule tsh 2,500,000/=, maelewano yapo, pia kina matofali 600 nayauza kwa 550 kila moja.
Wasiliana nami kwa simu namba 0713-357542.
 
Nini kimekufanza ukiuze?...... Mgogoro? kinajaa maji au?
 
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20x23 kinauzwa, kipo kitunda kivule tsh 2,500,000/=, maelewano yapo, pia kina matofali 600 nayauza kwa 550 kila moja.
Wasiliana nami kwa simu namba 0713-357542.
Du mpaka sasa bado hujauza
 
kimsingi mimi nitakupa milioni 2 kamili please elezea umbali uliopo na huduma za kijamii kama umeme na maji je panaingilika au ndo vile viwanja ambavyo havina hata sehemu ya kumwaga mchanga

je hizo tofali zimetengenezwa kwa umeme au ya kawaida.

hicho kiwanjwa niniavyofahamu hakina hati ila kina makubaliano ya muuzaji na mnunuzi je ninaweza kuonana na aliyekuuzia wewe

je utakuwa tayari tuje tukasiniane mbele ya mawakili na tuweke public notice ya two weeks au
 
Yes kiwanja chenyewe kipo banana kivule mwisho kinapakana na shule mbili za sekondari sorry majina nimeyasahau ya hizo shule, ila umeme upo karibu na hapo na kuna dispensary, vilevile ni karibu na barabarani ikiwa na maana ya usafiri wa daladala kukuleta hadi Banana na kwa sasa hapo ni maeneo ambayo kuna huduma za kiroho ikiwa na maana kuna makanisa na misikiti ambayo inajengwa na kutumika vilevile maji yapo, na mwisho mm niko tayari kukuonyesha aliyeniuzia usihofu wala nini. Pia niko tayari kusainiana mbele ya wakili wako pamoja na kuweka hiyo public notice hata kama ya mwezi au miezi miwili. Tofali hazijatengenezwa kwa machine ni za kupigia chini tu. Kama upo tayari mi nipo fresh any time.
 
Nini kimekufanza ukiuze?...... Mgogoro? kinajaa maji au?

Hakina mgogoro ni matatizo yangu binafsi mkuu, ni sehemu ambayo kuko tambarare na unaweza ukapata hata mchanga wa kujengea hapo hapo, ninaweza pia kukuonyesha hata aliyeniuzia mwanzoni, kuna huduma kadhaa za kijamii kama usafiri, panafikika kirahisi, shule zipo, huduma za afya kama dispensaries na kuna mipango ya serkali kujenga hospitali ya Mkoa wa Ilala huko,yaaani ile ya Ilala itakuwa ndogo.
 
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20x23 kinauzwa, kipo kitunda kivule tsh 2,500,000/=, maelewano yapo, pia kina matofali 600 nayauza kwa 550 kila moja.
Wasiliana nami kwa simu namba 0713-357542.
Unafika Matembele mawili au?
 
kiwanja pia ni kidogo sana just 460 squre meter na sehemu yentewe ni mbali na mji.

ndo maana nimesema maelewano yapo kaka na wewe you can say what you have then we can talk business, if i see it pays then i will accept men.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom