Nauza kiwanja -1984sqM-Kimepimwa na kina hati safi inayolipiwa!

Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
503
100
Kipo Buyuni karibu na Chanika,unapita Pugu Secondary.
barabara ni za uhakika zilichongwa na wizara wakati wa upimaji...sasa hivi kuna mradi mkubwa wa nyumba za PSPF kwenye maeneo haya unendelea.
Bei ni Pesa halali ya KiTz Millioni TISA(9,000,000).

kama uko interested niPM tufanye biashara.
 
Nakuunga mkono kuhusu uzuri wa eneo hilo.
Nilitembelea eneo hilo mwezi uliopita hakika patakuwa pazuri sana hasa kutokana na mradi wa nyumba za PSPF ambazo zipo kwenye finishing kwa sasa.
Hivi zile nyumba wataziuza kwa mtindo gani? Kama unafahamu?
 
Kipo Buyuni karibu na Chanika,unapita Pugu Secondary.
barabara ni za uhakika zilichongwa na wizara wakati wa upimaji...sasa hivi kuna mradi mkubwa wa nyumba za PPF kwenye maeneo haya unendelea.
Bei ni Pesa halali ya KiTz Millioni TISA(9,000,000).

kama uko interested niPM tufanye biashara.
Sio mradi wa PPF, ni PSPF!
 
Nakuunga mkono kuhusu uzuri wa eneo hilo.
Nilitembelea eneo hilo mwezi uliopita hakika patakuwa pazuri sana hasa kutokana na mradi wa nyumba za PSPF ambazo zipo kwenye finishing kwa sasa.
Hivi zile nyumba wataziuza kwa mtindo gani? Kama unafahamu?

sorry,sijui wataziuzaje mkuu.
lkn kwa kawaida huwa wanaanza na wanachama wao na baadaye zikibaki zinakuwa open kwa public.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom