Nauza Kinanda na Gitaa, nimeacha muziki

Joel Johansen

JF-Expert Member
May 12, 2016
242
319
Wakuu, vyote vipo kwenye hali nzuri, almost vipya hasa Kinanda maana hakijamaliza hata miezi 3. Gitaa ni YAMAHA, linatumia umeme pia. Lina begi na cable yake. Kinanda ni TANSEN, kina begi na stand yake. Nimeambatanisha picha.

Nimeacha Muziki maana nimefanya sana lakini kina Diamond wanakuja wanatoka mimi bado nasugua lami. Pia naviuza kwa bei ya hasara mno maana nina dharura inayohitaji pesa! Gitaa utanipa laki 3 na nusu (nilinunua laki 5 na nusu, mie nakuachia na begi). Kinanda utanipa laki 6 (nilinunua laki 8, mie nakuachia begi na stand pia).

Piga 0692 021670. Nipo Arusha. Unaweza kuja kuviona.

20160921_115145.jpg
20160921_115127.jpg
20160921_115204.jpg
20160921_115057.jpg
20160921_115304.jpg
20160921_115154.jpg
 

Attachments

  • 20160921_115108.jpg
    20160921_115108.jpg
    98 KB · Views: 252
  • 20160921_115238.jpg
    20160921_115238.jpg
    88.8 KB · Views: 232
Hilo Gitaa ni Gallatone hilo dukani ni laki na nusu hadi 120,000 wewe unauza bei twice nahisi wewe si mwanamuziki bali ni Dalali tu Gallatone used tayari ni chini ya laki...
 
Hilo Gitaa ni Gallatone hilo dukani ni laki na nusu hadi 120,000 wewe unauza bei twice nahisi wewe si mwanamuziki bali ni Dalali tu Gallatone used tayari ni chini ya laki...
kwani nani amekuuliza? kama umezoea za wachina ni ww. niache nifanye biashara, ni mali zangu. shwain
 
Back
Top Bottom