Nauza isuzu journey

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Wakuu nauza isuzu journey long ikiwa katika jali nzuri kabisa inatembea. Imesajiliwa kama daladala Gongolamboto - temeke. Bei maelewano. Karibuni
 
weka picha na detail zote ya mwaka gani? imeingia hapa lini sasa ukisema unauza unauza hewa?
 
weka picha na detail zote ya mwaka gani? imeingia hapa lini sasa ukisema unauza unauza hewa?

I'm sure hata wewe hununui picha. Nimepost kwa simu, Hivyo picha zitafuata soon. Any serious buyer ni-pm ufike kuiona physically.
 
huku hatuna umeme tangu juzi ndio maana sijaweka picha bado. Price 18,000,000/- Negotiable.
 
That's a good price, mie nafahamu mmoja imeingizwa 2009 na since haijatembea zaidi ya 10km ilipofika imeagizwa toka singapore bei 25,000,000
 
mkuu,

FYI ... sasa hivi SUMATRA hawasajili magari ya usafiri wa abiria yaliyo ya toleo la mwaka2005 kushuka chini

ukitaka kuagiza daladala inabidi uagize ya 2005 up to date
 
Kwanini unaiuza?

usimamizi mbovu. Niko busy sijajiajili bado. Pia fahamu kwamba isiuzu journey na dcm ndio imara na reliable. Zinaitwa gari za kimaskini. As I am writing gari iko barabarani. Haina tatizo.
 
mkuu hao sumatra ni mbwembwe tuu!hivi kuna dcm la 2006?mbona zimejaa ma barabarani?kaulizie gari ya 2006 bei yake,halafu uipige mkorogo wa daladala kama hela yako itarud!ngoma za mwaka 1990 ndio zipo zinadunda na hesabu kama kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom