Nauza Hummer - Used

Mr.Toyo

JF-Expert Member
Feb 9, 2007
433
117
Jambo wana JF;
Napenda kuwafahamisha kuwa nauza Used 2008 Hummer H3 4WD 4dr SUV

Maelezo yake kwa outline;
(a) Trims:
4WD 4dr SUV
4WD 4dr SUV Adventure
4WD 4dr SUV Alpha
4WD 4dr SUV H3X
4WD 4dr SUV Luxury

(b) Options:
SUSPENSION PACKAGE, OFF-ROAD, ADVENTURE, includes (G94) full-locking rear differential, (QLB) LT285/75R16 on-/off-road blackwall tires, (NR6) 4:1 2-speed transfer case, button-actuated full-time 4WD and specially-tuned shocks (Not available with (QB9) 4 - 16" x 7.5" (40.6 cm x 19.1 cm) chromed-aluminum wheels except when (YP8) Championship Special Edition is ordered. Required with (YP8) Championship Special Edition)
used-2008-hummer-h3-4wd4drsuvalpha-10033-7101605-1-107.jpg

(c) Mileage: 51,625

Maelezo mengine on request.

Bei ni maelewano wala usiogope aina la gari (Vijisenti tuu) ...Jamani hii ni kwa walio serious tuu na ni ya kwangu sio kwamba na dalalia.
 
Kama ningekuwa na Mahela ningefanya mambo tatizo sina vijisent, ila Hongera sana kwa kumiliki hiyo gari.

Thank you.........
 
mkuu hiyo ni ndoa ya kikristo "tutapendana kwa shida na raha mpaka Mungu atakapotutengenisha" mteja kupata ni ngumu na hivi siku hizi hayatengenezwi tena hata spea zake hamna, acha fuel consumption dah yaani hilo dude ni mimbaaa... tena ya kutafuta kwa mganga masharti kibao, vumiliana nalo tu mkuu kitunze kidumu!!!
 
mimi hili gari nailigopa sana, yaani hata ukanipa Bure! Labda uwe unaniwekea na mafuta pia
 
Mkuu umenichekesha sana hkaa!
 
Kama ningekuwa na Mahela ningefanya mambo tatizo sina vijisent, ila Hongera sana kwa kumiliki hiyo gari.

Thank you.........

Usijali mkuu,
Ongeza juhudi tuu na wala usiwe mnyonge...nothing is impossible as long as struggle is possible..KEEP IT UP
images
 
mkuu hiyo ni ndoa ya kikristo "tutapendana kwa shida na raha mpaka Mungu atakapotutengenisha" mteja kupata ni ngumu na hivi siku hizi hayatengenezwi tena hata spea zake hamna, acha fuel consumption dah yaani hilo dude ni mimbaaa... tena ya kutafuta kwa mganga masharti kibao, vumiliana nalo tu mkuu kitunze kidumu!!!
Hahahahaaa!!!
inauzika mkuu...........wapo vijana wana hela haina kazi kabisa!
Ngoja shimo liteme...machalii watalinyakua fasta.
 
Hahahahaaa!!!
inauzika mkuu...........wapo vijana wana hela haina kazi kabisa!
Ngoja shimo liteme...machalii watalinyakua fasta.

haya yanapendwa na vijana(wapigaji) wa kinondoni ambayo almost 95% ya magari yao ni ya kupigwa nje(South Africa, Uk, na US) sidhani kama Mr. Toyo atakubaliana nao bei maana wao dude kama hilo wanalipata kwa bei ya starlet, ila kiukweli hummer limekaa kimkwala tu wala sioni uzuri wake mi naona presentation yake ni ya kipedeshee halina Executive presentation!!!
 
Kuna ingine ya dada muuza sura,ni nzuri sana inakodishwa pale Mikocheni kwa Osama inakaa kituoni toka asubuhi hadi jioni na kupelekwa kulazwa CCM,na hakuna anayekodi,mambo ya hummermannia bana yataka fweza na si fweza za msimu mpaka usubiri upige EPA,au inabidi uwe Pedeshee
 
tubadilishane na toyota vista yangu mkuu nikuongezee pesa ya bia kdogo......
 
mimi hili gari nailigopa sana, yaani hata ukanipa Bure! Labda uwe unaniwekea na mafuta pia

Hata Tinga(Raila Odinga )ameliacha sembuse sie ambao hata hela ya vocha taabu ama kweli ni ndoa ya kikristo ,kwa taabu na raha hadi mu kaburi
 
Wajomba hii kazi ipo!! hivi dubwasha kama hili mtu unalinunua kwa malengo gani kwani?? No offense nauliza tu waungwana!! kwa ajili ya kuendea shamba?? maana lina ma 4 by 4 na kadhalika zote!! mafuta linakula vipi!!!? last nimeuliza nikaambiwa km3 mpaka 4(Only original hummer). foleni toa hesabuni!! na kama ni la copy ya hummer hizo km gawanya kwa mbili unusu!! wajameni huku si kutiana umaskini hata kama unazo??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom