Nauza GPS MAGELLAN EXPLORIST 100 - Bei nzuri

Changamoto2015

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
773
313
Wana JF ninauza GPS Magellan Explorist 100 ambayo hutumika na maofisa ardhi kujua coordinates za kiwanja katika hatua za mwanzo kabla upimaji mkubwa haujaanza. Hii husaidia kujua location na matumizi ya kiwanja kabla mnunuzi/mmiliki hajafanya maamuzi ya kutafuata team ya surveyors kuanza kazi ya upimaji.

Mara nyingi GPS hukodishwa kwa bei kati ya TSH 50,000 - TSH 100,000 kwa siku.

Bei yangu: Nauza TZS 150,000 tu ( laki moja na nusu tu bila punguzo lolote).

Hali ya GPS ni nzuri, maana tangu niinunue sikuitumia kabisa, japo manual yake sina .....lakini inaweza kupatikana kirahisi online.

Sehemu nilipo ni Dar es Salaam.

Ni pm au nitumie email kupitia: investa.tz@gmail.com tukubaliane jinsi gani utaipata.

Picha:

AoX9UTwI0Je0AAAAAElFTkSuQmCC
GPS-MAGELLAN-EXPLORIST-100.jpg
 
Wana JF ninauza GPS Magellan Explorist 100 ambayo hutumika na maofisa ardhi kujua coordinates za kiwanja katika hatua za mwanzo kabla upimaji mkubwa haujaanza. Hii husaidia kujua location na matumizi ya kiwanja kabla mnunuzi/mmiliki hajafanya maamuzi ya kutafuata team ya surveyors kuanza kazi ya upimaji.Mara nyingi GPS hukodishwa kwa bei kati ya TSH 50,000 - TSH 100,000 kwa siku.Bei yangu: Nauza TZS 150,000 tu ( laki moja na nusu tu bila punguzo lolote).Hali ya GPS ni nzuri, maana tangu niinunue sikuitumia kabisa, japo manual yake sina .....lakini inaweza kupatikana kirahisi online.Sehemu nilipo ni Dar es Salaam.Ni pm au nitumie email kupitia: investa.tz@gmail.com tukubaliane jinsi gani utaipata.Picha:
Mkuu ina Cable ya kulink na computer?, una disk ya kuinstall kwenye computer?, accuracy yake ni +- meter ngapi?
 
Mkuu hii kitu inauzwa bila cable ya kuunganisha kwenye computer wala installation disk, accuracy kwa kweli sijui mkuu.
hata hivyo nasikia accuracy ya GPS huwa ina vary kulingana na eneo unalofanyia kazi, mfano sehemu yenye pori kubwa accuracy inakuwa tofauti na sehemu ambayo ina open sky.
Mkuu ina Cable ya kulink na computer?, una disk ya kuinstall kwenye computer?, accuracy yake ni +- meter ngapi?
 
Mkuu hiyo GPS pale M city mpya ndo 150,000 na guarantee mwaka mmoja. hiyo yako tayari ni used mi nakupa 50000 tsh cash
 
Asante mkuu kwa offer yako lakini hiyo ipo chini sana! sina uhakika kama pale mlimani wanauza kwa bei hii ya TSH 150K...... maana ukiingia e-bay au amazon GPS used aina hii ni kuanzia $80. Hii yangu sijaitumia kabisa tangu niinunue.
Mkuu hiyo GPS pale M city mpya ndo 150,000 na guarantee mwaka mmoja. hiyo yako tayari ni used mi nakupa 50000 tsh cash
 
Mkuu hiyo GPS pale M city mpya ndo 150,000 na guarantee mwaka mmoja. hiyo yako tayari ni used mi nakupa 50000 tsh cash

ushaanza, amesema uwasiliane naye kwenye e-mail aliyotoa, sasa haya ya mpya na used yanaanzia wapi? anyway naona kama inalipa akiikodisha kuliko kama ataiuza
 
ushaanza, amesema uwasiliane naye kwenye e-mail aliyotoa, sasa haya ya mpya na used yanaanzia wapi? anyway naona kama inalipa akiikodisha kuliko kama ataiuza

Bei ya kukodi sio hiyo ya handheld ila Revolving one like trimble 5800 series with lod mounted on top.
 
Bei ya kukodi sio hiyo ya handheld ila Revolving one like trimble 5800 series with lod mounted on top.

Mkuu hayo ni maelezo ya muuzaji, kuwa unaweza nunua halafu ukawa unaikodisha kwa wanaohitaji, na ameweka renting price yake, unajua nyie wenzetu mmebobea kwenye hayo maeneo na inawezekana mkawa mnafahamu kila kitu katika eneo hilo, ila mtu kama mie wa HKL naweza nunua ili nikodishe au nitachemka?
 
Ingekuwa inakodishwa kwa bei hiyo kwanini angeiuza sasa, si angeikodisha mwenyewe apate hizo laki na nusu kila siku badala ya kuiuza na apate mara moja tu hiyo laki na nusu.
 
Ingekuwa inakodishwa kwa bei hiyo kwanini angeiuza sasa, si angeikodisha mwenyewe apate hizo laki na nusu kila siku badala ya kuiuza na apate mara moja tu hiyo laki na nusu.
Sitaki kuwa msemaji wa muuzaji, ila nadhani tunakubariana kuwa muuzaji amejaribu kuelezea faida na matumizi yake endapo utaamua kununua hicho kitu, mojawapo ni kuwa unaweza kukikodisha kwa bei aliyonyesha yeye - ambazo zinaweza kuwa za soko au vinginevyo, lakini sio lazima yeye akodishe maana sio mtengeneza, say bus, anaweza kabisa kulisimamia katika biashara ya abiria, yeye anauza bus kwa wasafirishaji
 
Back
Top Bottom