Nauza generator mpya

Maelewano? Ungesema kabisa unajua wengi wanapenda biashara uweke inauzwa TZS ngapi?
 
Bei laki na 20, ni gasoline generator, amps 10a, peak power 700, 2.0 hp, rate voltage 220v, phone 0754016650
 
oky naiweka but kama upo around waweza nichek kwa cm kuiona na testing waruhusiwa
 
Hebu nielimishe mkuu,nikinunua hiyo naweza kuoperate vitu gani kwa wakati mmoja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom