Nauza gari "verossa"

Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,813
4,860
Nauza gari with the following specs;

Make: 2001
Model: Toyota, Verossa, Sedan
CC; 2000, Six (6) Cylinder
Automatic transmission
KM: 106016
Colour; pearl white
Fuel; petrol
CD/Tape/ FM/AM Radio
Comprehensive insurance
reg; ni T...BLM

NB: ina msamaha wa kodi
Bei; 11.5 M
NIMECHACHA JAMANI NIPUNGUZIENI HUU MZIGO
 

Attachments

  • DSCF0301.JPG
    DSCF0301.JPG
    592.1 KB · Views: 221
  • DSCF0303.JPG
    DSCF0303.JPG
    578.4 KB · Views: 171
  • DSCF0305.JPG
    DSCF0305.JPG
    510.9 KB · Views: 267
  • DSCF0310.JPG
    DSCF0310.JPG
    940.1 KB · Views: 199
Kwann unauza,?
Ipo mkoa gani?
Pamoja na msamaha unauza 15m, bei kubwa mkuu
 
Kwann unauza,?
Ipo mkoa gani?
Pamoja na msamaha unauza 15m, bei kubwa mkuu
 
Nauza kwa sababu nataka kubadili gari ipo dar es salaam sema una sh ngapi pamoja na msamaha wa kodi
 
Nzuri ila namba ya mwisho sio muhimu unegeweka ya pili ya tatu ukaficha,maana inaweza kua T BAM ambayo ina zaidi ya miaka mitatu,kwakua namba haujaweka kwa nini usiweke T B(ya pili ndio muhimu)M,pamoja na exemption nakupa 10.5m
 
Nzuri ila namba ya mwisho sio muhimu unegeweka ya pili ya tatu ukaficha,maana inaweza kua T BAM ambayo ina zaidi ya miaka mitatu,kwakua namba haujaweka kwa nini usiweke T B(ya pili ndio muhimu)M,pamoja na exemption nakupa 10.5m
10.5 hailipi mkuu japo nimeanzia juu sana 13M nakubali.
 
Year of Registration?? T B** au weka herufi hapo kwenye star,exemption yako ni half or full?

Reg. No ni. T BL kuhusu exemption sielewi full ni na half ni ipi, lakini kwa ufupi ni msamaha wa kodi kwenye magari unaotolewa kwa watumishi wa umma (Import duty, Excise duty)
 
Nkiitaka namfuata Aliyee ananipatia kwa hiyo 15Mil (Or even less) bila mikwara ya msamaha wala nini!!!

sasa si umfuate mkuu akupe bila mkwara, we hupendi kutembelea kitu verossa
 
Top Page > Japanese used cars > Toyota > Verossa > 2002 > Toyota Verossa 2002

but_out.gif





but_out.gif




but_out.gif









but_out.gif






ID694952-ISL-004753
2002 Toyota Verossa 2.0L
2002 Toyota Verossa
2.0 AW!!! Low mileage!!!





Photo Gallery
Location
392.gif
JAPAN
View Price
ques_icons.gif
FOB PriceUS$ 5,200
Shipping Estimator
ques_icons.gif
US$ 1,201
DAR ES SALAAM
Change Port
Time Left10 Days
Feb / 25 / 2012 (JST)

Registration Year / Month2002/12
Odometer36,000 km
Displacement2,000 cc
SteeringRight
TransmissionAutomatic
FuelGasoline/Petrol
Model codeTA-GX110

Specific information Check the detailed specification for Toyota Verossa
VIN(Vehicle Identification Number)/Serial No.6045***
Full VIN/Serial No. will be shown on Proforma Invoice and Invoice
Exterior ColorSilver
BodyStyle1SedanInterior Color-
BodyStyle2-Expiry DateFeb / 25 / 2012 (JST)
Door4ConditionUsed
Number Of Passengers5Drive Type2wheel drive
Dimension4705×1760×1450=12.01m[SUP]3[/SUP]ReferenceNoISL-004753
Options:Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Rear Window Defroster / A/C:front / Power Steering / Tilt Wheel / Digital Meter / AM/FM Radio / AM/FM Stereo / CD Player / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors
Comment:Very clean interior
Looks & runs great
Low mileage
Alloy wheels!!!
Very good exterior!!!



I.S.L ♔ IMPERIAL SOLUTIONS LIMITED ( 1







kaka unaionaje hii nikiagaza unaushuru kila kitu bado haitafika kwa ya kwako punguza bei mzee
 
Hio ni bei ya mwanzo ya Rav4 auto (2000 on models) kabla ya ushuru.
Ni ngumu kuuza magari ya msamaha wa kodi ..labda umuuzie ndugu yako na gari libakiwe kwenye jina lako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom