Nauza engine na gear box ya escudo model g16 suzuki 16a, 1996 year

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Engine ya SUZUKI ESCUDO na gearbox yake vinauzwa, niliagiza toka Japan, viko katika hali nzuri sana na haijatumika hapa bongo. Kwa sasa ipo Mbeya lakini mnunuzi wa Iringa, Morogoro na Dar anaweza kusafirishiwa bure. Document zote za importation zipo. Bei ni nzuri sana.
 
Vipi hiyo Gear box umeishaiuza? Kama bado Tshs ngapi naihitaji. Thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom