nauza digital camera

Andy ryn

Member
Aug 26, 2011
8
0
aina ya FUJIFILM MX - 1200
1.3 mega pixels
Full set up with quality pictures
Dc in 5V
Memory card,
Normal display,
Price Tsh 40,000 only.
Call 0713133633
 
aina ya fujifilm mx - 1200
1.3 mega pixels
full set up with quality pictures
dc in 5v
memory card,
normal display,
price tsh 40,000 only.
Call 0713133633

nakupa elf 30 leo hii,if interested call 0713388226
 
Teh teh! 1.3MP,si bora nitumie ya simu ya mchina!!

"Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi"
Yaani pamoja na maendeleo ya technology ambapo information inawezakupatikana kirahisi bado watu wanakuwa wavivu wa kutafuta habari na kusoma. Haya ngoja niwatafunie kdogo halafu mshindwe wenyewe kumeza!

Most digital cameras these days have sufficiently high resolution that you don't need to worry about too few pixels. You may need to worry about too many, however, since the resulting larger file sizes can result in slower shooting for point-and-shoot models.
Given how much confusion there still is about this, it bears stating explicitly: More megapixels does not necessarily mean better photo quality. We'll say it again: More megapixels does not necessarily mean better photo quality. Repeat after me: More megapixels does not necessarily mean better photo quality.

Just because last year's model had a 12-megapixel sensor and this year's replacement has a 14-megapixel sensor doesn't mean that the new one will shoot better photos than the old. In point-and-shoot cameras, manufacturers increase resolution for marketing and cost reasons, rarely for quality reasons.

If you are interested in the whole article, then bofya hapa
 
Acha kukalili camera inaweza kuwa na hiyo 1.3mp,lakini ikatoa quality yenye akili kiongozi,acha kumpeperushia mshikaji wateja bana.
ndio maana mchina anawapa M.P kubwa coz anajua watu ndio kitu wanachovutika nacho
 
aina ya FUJIFILM MX - 1200
1.3 mega pixels
Full set up with quality pictures
Dc in 5V
Memory card,
Normal display,
Price Tsh 40,000 only.
Call 0713133633

Yaani katika ulimwengu huu watu wanazungumzia 16MP wewe unazungumzia 1.3MP!!!!!
Hauwezi kuwa serious.
 
ndio maana mchina anawapa M.P kubwa coz anajua watu ndio kitu wanachovutika nacho

Kitu kuwa cha kichina hamananishi ni kitu kibovu. Nenda katute simu inaitwa Samsung Wave II uone imetengenezwa wapi na mambo inayofanya halafu uje ufananishe na visimu vingine brand ya kichina kabisa kama Matrix n.k
 
Kumiliki camera hiyo ni sawa mtu kumiliki zile simu za miche ya sabuni (analog) mwaka 2011
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom