Nauza digital camera sony

Siri ya hizi Camera ni kwamba kama betri yake ni Lithium za kuchaji basi hiyo ni nzuri na inastahili hiyo bei. Lakini kama inatumia zile AA za dukani basi ni low quality product na hata kwa sh 100,000 bado itakuwa ghali
Hapo napingana na wewe betri haifanyi kamera kuwa ni nzuri au mbaya nimeona Canon,Nikon tena EOS /SLR zinatumia hizo batterry za AA rechargable na ni nzuri kupindukia,tuache kupotosha mambo
 
Hapo napingana na wewe betri haifanyi kamera kuwa ni nzuri au mbaya nimeona Canon,Nikon tena EOS /SLR zinatumia hizo batterry za AA rechargable na ni nzuri kupindukia,tuache kupotosha mambo
Mkuu hiz sony cyber shot wahuni wa kichina wamezidublicate sana,sasa ili angalau ujue unanunua sony cyber shot genuine lazima iwe na original rechargeble betri ya sony na ile flash card (memory card) lazima iwe ya sony kama utakuta mchanganyiko basi ujue ni zile zile za kutoka kwa wahuni wa mjomba Hu jin Tao.
 
Lakini mkuu 10MP bado ipo chini sikuhizi watu wanatumia 16MP ndiyo inatoa kitu ng'ada. Anyway hakuna biashara isiyokuwa na mteja.
 
Hapo napingana na wewe betri haifanyi kamera kuwa ni nzuri au mbaya nimeona Canon,Nikon tena EOS /SLR zinatumia hizo batterry za AA rechargable na ni nzuri kupindukia,tuache kupotosha mambo

kubali au kataa. Sony cybershot original zinatumia info-lithium battery pack, za kichina zinatumia AA na quality yake ya picha ni low.
hizo slr unazodai nzuri pia kazichunguze
 
hapo kwenye red:
Wewe inaonesha ni kwa kiwango gani ni kilaza na upo kwa ajili ya kuponda, kwa taarifa yako betri za kuchaji zinauzwa sh. 20,000, so unaposema kama ni ya kucharge inastahili hiyo bei, na kama sio hata laki 1 ni ghali unamaana betri ya kuchaji inauzwa zaidi ya sh. 120,000. We kweli kilaza, shame on you.

kazi kweli kweli hivi una hata idea ya unachokizungumza 'profesa' maana tutakusamehe kwa kutoelewa yaliyoandikwa na wengine lakini kama unachokifyatua mwenyewe pia hukielewi badilisha diet ya chakula chako, punguza kusikiliza bongo fleva na acha filamu za kanumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom