NAUZA COROLLA Tsh milion 4.3

mkuu hii gari iko je, mil 4.3? weka picha hapa tuone marketing gani hii swahiba
 
Mim ninayo COROLLA lakin bei 4.5MIL....odometer 98,900,njoo na fundi wako uione,hauwez kuiacha kamwe
0764 468 469 DAR.
 
mi nauza Toyota Corona Exiv ya mwaka 95..ipo kwenye hali nzuri sana..ina body nzuri,rangi ni dark grey metallic,,manual car,ac iko poa sana..........power window...etc..nipm au nipigie 0754 096818
 
wekeni picha wadau tuzione sio mambo ya kisiri siri ooh mara niPM ndo ishu gani??
 
wekeni picha za nje na ndani..ya pale kwenye dash board ionekane vizuri mi ndo napapendaga sana
 
Ipo ktk hali nzuri tuwasiliane 0712856682 dar es salaam

Jamaa atajilani sana maana kaanzisha uzi halafu jamaa wengine wameingiza biashara balaa.

Ok, wote wana makosa yanayofanana hawasemi ni model gani ya gari, kama AE100, AE110 au 111!!!!!
Historia ya gari kama umeuzwa mara ngapi, rangi, kms mahali japokuwa wote wameweka namba za simu.
 
Ukitaka kuuza gari kivizuri zaidi zingatia haya!
•Specifications
»Odometer ingawa zinarudishwa nyuma
»Engine size and type eg cc2000,D4 etc
»Color:pearl white silver black etc
»Grade ya ghari:grade 5,grade 3 etc
•Picha
»Weka Picha inayoonyesha sehemu za gari zote,engine,ndani,buti,tyres,na ubora wa rangi ya gari na kama kuna demage weka pia
•Contacts na bei ya Mwisho ya kuuza! Haya mambo ya kusema nauza mil4.5 ila inazungumzika hayasaidii weka bei ambayo kama 4m baasi hyo hyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom