Nauza body la gari aina ya Mistubishi Chariot

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Johnson_Siame, Apr 16, 2012.

 1. J

  Johnson_Siame Senior Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nauza body ya mistubishi Chariot, bado ipo bomba, inasumbua engene sasa me nimekosa pesa ya kubadilisha engene ili niweke ya Rav 4, kama unaitaji ni shilingi milion 2.5, mawasiliano ni 0652-110878
   
 2. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  haijapigwa rangi? haina vitu gan?
   

Share This Page