Nauza Bajaj

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
Hi mwenye kuhitaji Bajaj, nauza tsh 2.5m, imekaa road 1 year, ina hali safi kabisa, haijafunguliwa engine ( imebadilioshwa caburator tu), derva wake ni mtu mzuri sana na anaitunza kw ahali ya juu. Nauza sababu nahitaji fedha kufanya jambo muhimu sana, ila nitajarudi ktk business ya bajaj soon nkimaliza matatizo yangu. mwenye kuhiaji ani pm taf.
[Reg number ni BQC, 4stroke , lita moja inatembea 32km, ] hope kwa bajaj zinafahamika haihitaji picha hapa!
 
Back
Top Bottom