Naungana na Waganda kumpongeza Museveni kuwa Rais tena kwa Muula wa Nne

manenge

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
279
17
Kuna dhana iliyopo kwa sasa hivi kwamba viongozi wengi wamekaa madarakani kwa muda mrefu na kuchukiwa. Hii inatokana na ukweli kwamba wengine wanashindwa kudeliver lakini wanang'ang'ania madaraka. Wengine mfono Museveni anafanya vitu vinaonekana kwenye nchi yake ndio maana anaendelea kushinda. Je nie mnaonaje hili?
 
Ghaddafi ndie ameifanyia makubwa sana nchi yake ukilinganisha na wengine woote wenye ulevi wa madaraka, lakini nae pale nchini mwake mambo yameharibika (amang'ana gasarikire)...
 
Kuna dhana iliyopo kwa sasa hivi kwamba viongozi wengi wamekaa madarakani kwa muda mrefu na kuchukiwa. Hii inatokana na ukweli kwamba wengine wanashindwa kudeliver lakini wanang'ang'ania madaraka. Wengine mfono Museveni anafanya vitu vinaonekana kwenye nchi yake ndio maana anaendelea kushinda. Je nie mnaonaje hili?
Yes,...Mu7 is a perfomer.
 
Juzi umeme ulizimwa karibu masaa 24 huku kaskazini na inasemekana amechakachua hadi akashindwa hayo maeneo. Anyway, ndo siasa za kiafrica hizo. Mimi simpongezi.
 
Back
Top Bottom