Naumwa

Kufa bas tule pilau :biggrin1::biggrin1:

Mwaya polee labda unaumwa ugonjwa wa bhoke wa big brother :tonguez::tonguez:
 
Umewahi kusikia mahali kunaitwa samunge? Panaweza kukusaidia :dance::dance::dance::dance::dance:
 
Get well soon best!!!!

Asante,
Kama kuna ukweli nataka kusema kuhusu avatar basi ni kuhusu avatar yako,...
Kila napo iangalia nahisi kizungu zungu sijui macho mangapi vile,...

Agggr,badilisha bana,haraka
 
Back
Top Bottom