Lonely heart
Member
- Oct 21, 2011
- 46
- 20
Habarin,Wkt naolewa mume wang hy alikua anamiliki kitanda tu na alikua ni dreva nami nilikua sekretary wa kiwanda cha uchapishaji, kwakweli tumepitia mitihani mingi sn wkt mwngn tulikua tnalala njaa ila nilivmilia, mume wng alikua mfujaji mzuri sn wa hela, ktkn na tabia hy ilibid tukubaliane hela zt zikae kwny account yng, baada ya 5yrs tukawa tumehfadhi hela kias tukanunua lorry (tipa) baada ya 2yrs tukanunua kiwanja na kukijenga, ss tna malorry 3, nyumba 2 na maduka 2. Wkt hatuna k2 wifi zng walikua wapole na walikua wananisihi nimvumilie kaka yao kwny shida na kweli nimepata shida nyingi nyingi sn but nilivumilia, KWAKWEL NI MWAKA WA 3 TK WIFI ZNG (wameolewa wt) WAANZE UISA,WAKIJA WAKIKUTA NIMEVAA NGUO NZURI,KANGA,VIATU WANANIMBIA NIWAGAIE, wakikuta nguo kambani, vyombo vzuri wanabeba nikiwauliza wanasema ni mali ya kaka yao, wanamshawish kaka yao aachane na mm eti nataka kumrithi na kweli mume wng aliwasikiliza akaniambia niondoke niende kwetu kwani mali zt ni zk,