Naulizia shule bora za wasichana

Irene Joshua Ndossy

New Member
Mar 14, 2012
3
0
Ndugu zangu naomba msaada kwa yeyote ambaye anajua shule bora za wasichana mkoa wa Kilimanjaro na Arusha,,Seminaries will much be appreciated..
 
Ndugu zangu naomba msaada kwa yeyote ambaye anajua shule bora za wasichana mkoa wa Kilimanjaro na Arusha,,Seminaries will much be appreciated..

Ungetueleza unatumia vigezo gani kujua shule bora halafu tukutajie. Je, unatumia kigezo cha Uwepo wa Walimu wazuri, Majengo mazuri, Vifaa vya kufunzia, ufaulu wa wanafunzi, uwepo kando ya Mlima Kilimanjaro au UBORA kwa kigezo kipi?Funguka tafadhali, watanzania bado hamjui hata kuuliza maswali jamani!!!!!!!
 
Back
Top Bottom