naulizia maduka ya simu posta

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
Habari wanajamvi,
Apart from sapna, nilikua naomba mnielekeze maduka ya simu mpya yenye bei nafuu and reasonable too posta,
 
N.B
Kariakoo naskia simu za madukani wanabadilisha sana battery na kudokoa vitu vidogo kama earphones n.k
Ndo mana nimeamua kupapotezea kwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom