Naulizia hii kitu

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Jamani naulizia hii kitu kama inapatikana ,ili kueleweka kuna game nyingi(software) kwa mfano mzuri ni Chess, sasa napenda kuulizia kama drafti hili la kikwetu tulichezalo shule au kwenye vibaraza vya mitaani kama ipo software au game yake inayoweza kuchezwa kwenye PC kama ilivyo Chess ,ni hilo tu.
 
Zipo nyingi tu. Ni pm nikutumie.
 
Daraft la aina gani maana nimeyacheza sana kuna linaltwa french na lingine british.

Huna haja ya kuwa na software unaweza kucheza magem haya online na watu real kabisa sehemu mbali mbali za dunia . Yahoo wanatumia jina checkers

Kuhusu software kuna software moja inaitwa play buddy. sikumbuki vizuri jaribu ku google .

Kuna software moja nimesahau jina ukimfunga msichana anakuvulia nguo unavyozidi kumfunga anavua zote

teh teh teh
 
hata mie ninayo draft kwenye comp kama cm yangu ingekuwa inakubali ku attach files ningekutumia mkuu
 
Daraft la aina gani maana nimeyacheza sana kuna linaltwa french na lingine british.

Huna haja ya kuwa na software unaweza kucheza magem haya online na watu real kabisa sehemu mbali mbali za dunia . Yahoo wanatumia jina checkers

Kuhusu software kuna software moja inaitwa play buddy. sikumbuki vizuri jaribu ku google .

Kuna software moja nimesahau jina ukimfunga msichana anakuvulia nguo unavyozidi kumfunga anavua zote

teh teh teh

yes mkuu upo sahihi kabisa uko ndiko nachezaga pool
 
Zipo nyingi tu. Ni pm nikutumie.

Men it's like the topic starter read my mind.Mkuu nifanyie utaratibu hii kitu nilikua nayo Pc yangu ika crush nilipoteza vitu vingi sana ikiwemo hii kitu,nitumia link au file hilo kwenye Email ukiweza itakua poa zaid plz.
 
Jamani naulizia hii kitu kama inapatikana ,ili kueleweka kuna game nyingi(software) kwa mfano mzuri ni Chess, sasa napenda kuulizia kama drafti hili la kikwetu tulichezalo shule au kwenye vibaraza vya mitaani kama ipo software au game yake inayoweza kuchezwa kwenye PC kama ilivyo Chess ,ni hilo tu.

Duhhhhhhhhhh!!!!
 
Back
Top Bottom