Naulizia hali ya majeruhi mkuu wa Arumeru Mashariki

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
413
Ni juma moja limepita sasa toka wananchi wa Arumeru Mashariki wakatae siasa za uchifu, siasa za mnada na kuonyesha chuki na hasira zao kwa kupandikiziwa chaguo la mtu kwa manufaa yake binafsi.

Swali langu ni je, yule muathirika mkuu wa kukataa huku kwa wana-Arumeru ambaye kimsinginalikuwa anamsimika bintinyake kwenye kiti hicho ana hali gani na yuko wapi? Mwenye taarifa zake atujuze tafadhali.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba alifakamia whisky siku hiyo na kuwashushia matusi wale cijana wake ambao kila siku walikuwa wanampa faraja na hakikisho kwamba ushindi ni asilimia 70. Siku hiyo saa kumi walianza kupiga whisky na mbuzi wakijua kwamba ile ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu!
 
Kila mtu alikuwa anamuogopa jamaa lakini wana arumeru wametuonyesha kwamba huyu jamaa ni joka la kibisa na sasa kilichobaki ni kumtia adabu kwenye chaguzi zijazo. Kumbe fedha si kila kitu.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba alifakamia whisky siku hiyo na kuwashushia matusi wale cijana wake ambao kila siku walikuwa wanampa faraja na hakikisho kwamba ushindi ni asilimia 70. Siku hiyo saa kumi walianza kupiga whisky na mbuzi wakijua kwamba ile ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu!

Duuuuuh ajifunze siku nyingine kuacha kung'ang'ania mambo.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba alifakamia whisky siku hiyo na kuwashushia matusi wale cijana wake ambao kila siku walikuwa wanampa faraja na hakikisho kwamba ushindi ni asilimia 70. Siku hiyo saa kumi walianza kupiga whisky na mbuzi wakijua kwamba ile ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu!
Alifakamia brandy inayoitwa hennessy
 
Mwenzio amefurahia kifo cha Kanumba kimewafanya watu wamsahau kidogo kumbe wewe bado unampa za usoni tu. 2015 huyu mzee atachekea msalani maana kasi ya mabadiliko ni kubwa sana
 
Ni juma moja limepita sasa toka wananchi wa Arumeru Mashariki wakatae siasa za uchifu, siasa za mnada na kuonyesha chuki na hasira zao kwa kupandikiziwa chaguo la mtu kwa manufaa yake binafsi.

Swali langu ni je, yule muathirika mkuu wa kukataa huku kwa wana-Arumeru ambaye kimsinginalikuwa anamsimika bintinyake kwenye kiti hicho ana hali gani na yuko wapi? Mwenye taarifa zake atujuze tafadhali.

Muathirika Mkuu ni CCM na Makuwadi wote Waliopanda Jukwaani Kumnadi Sioi. Labda nikukumbushe Majina yao ili uwaulize

1. Ben Mkapa
2. Lowasa
3. Nape Nnauye
4. Mwigulu
5. Wasira.
6. Medeye
7. Ole Sendeka ( Mpiganaji wa Ufisadi aliyepanda jukwaani kupigania "Chaguo lisilo la Chama:)
8. Wasira
9. Ester Bulaya
10. Lusinde
12. Mkama
13. Msekwa
14 Mganga Maji Marefu
15. Marry Nagu

Mkuu Hakuna haja ya Kujaza Server ya JF na Wakati Unafahamu namba za Majeruhi Tajwa Hapo Juu. Wapigie tu Mkuu
 
Kikosi Cha CCM Kilichoabikika Arumeru

1. Ben Mkapa
2. Lowasa
3. Nape Nnauye
4. Mwigulu
5. Wasira.
6. Medeye
7. Ole Sendeka ( Mpiganaji wa Ufisadi aliyepanda jukwaani kupigania "Chaguo lisilo la Chama:)
8. Wasira
9. Ester Bulaya
10. Lusinde
12. Mkama
13. Msekwa
14 Mganga Maji Marefu
15. Marry Nagu
 
Mwenzio amefurahia kifo cha Kanumba kimewafanya watu wamsahau kidogo kumbe wewe bado unampa za usoni tu. 2015 huyu mzee atachekea msalani maana kasi ya mabadiliko ni kubwa sana

Na kesho kuna shehere za simba. Lakini ukweli unabaki kwamba huko Dodoma atapigwa tena kibao cha uso pale Nassari atakapoapishwa!
 
Hakuna Aliye Msafi Ndani ya CCM! CCM haikushindwa Arumeru eti Kwa Sababu ya Lowasa. CCM kama Chama kinakataliwa kote na Kwa Hakika kama vijana wa CDM wasingesimama imara kulinda Kura za Vijijini Leo Mbopo ungekuwa unazungumza story nyingine kabisa
 
Wenzako akina Rejao na Ritz Walikesha hapa JF Wakijongea Kura za Vijini ziwaokoe lakini Kura za Vijijini hazikiufika Mjini Wakapotea for Three Days Leo Wewe Mpambe wa Membe unahisi kwamba Uchaguzi wa Arumeu Umemzika Lowasa ha ha ha Very soon tutaanza tena Kumuona Membe kwenye Media
 
Back
Top Bottom