Naulizia Assessment center za BRAC Tanzania zilipo

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,600
1,567
Habari wandugu..

Nimeitwa kwenye interview BRAC Tanzania, wameandika kuwa niende kwenye Assessment center, mwenye kufahamu hizo assessment zao anisaidie hapa.

Ahsante, na Usiku mwema.
 
Mkuu Tang'ana, ebu nipe brief... Maana umenitisha, au kama ule mtandao fulan wa simu toka nchi za ng'ambo!? Na vipi mishahara yao.. Ni post ya Graduate management trainee...
 
Inategemea na kitengo ulichopangiwa ukideal na mikopo midogo ya wakinamama lazma utaona ugumu wake mishahara ni midogo, pale ni kudeal na rushwa kichini chin za wanaochukua mikopo ila wahind wakikufuma huna kazi
 
shost angu amefanya nao kazi week mbili tu nikaona kaacha mwenyewr.sijui kuna tatixo gani hapo
Inategemea na kitengo utakachofanyia kazi, kuna jamaa zangu huu mwaka wao wa 3, hawana dalili wala kufikiria kuondoka. Kifupi mishahara yao ni ya kawaida ila kwenye kitengo chao wanapata pesa sana na wapo free kufanya shughuli zao nyingine.
 
Back
Top Bottom