Nauliza wakuu wenzangu je jina lako lipo sehemu gani katika mwili wako?

Bado mkuu hujanijibu
Unajua, mara nyingi imenitokea watu wakiniona tu sura yangu (uso) wananitambua kirahisi kwamba mimi ndo mwenye jina hilo. Pengine hudiriki hata kuniita baada ya kuniona sura tu. Ndo maana nikasema jina langu liko usoni kwangu. Kumbe nimekosa! Mwe!
Basi na mimi nangoja jibu lako Mkuu.
 
Ashakum! Langu lipo kwenye kiuno ( *****)
Umekosea jina lako haliwezi kuwa kwenye Kiuno hhahahah Bado sijapata jibu langu mpaka sasa. Nauliza Swali langu lile lile jina lako au jina langu lipo Sehemu gani katika mwili wako au mwili wangu? naombeni munijibu jamani...........
 
jina langu liko mdomoni mf naitwa ANGEL nimelitaja jn lng kwa mdomo si ku2mia kiungo kingn chchte, NIMEPATIA?
Hujapata bado jina lako haliwezi kuwa Mdomoni mdomo kazi yake kuzungumza iweje tena mdomo uwe ndio jina lako? Naomba jamani mnijibu hilo swali langu [h=2]je jina lako lipo sehemu gani katika mwili wako?[/h]
 
Unajua, mara nyingi imenitokea watu wakiniona tu sura yangu (uso) wananitambua kirahisi kwamba mimi ndo mwenye jina hilo. Pengine hudiriki hata kuniita baada ya kuniona sura tu. Ndo maana nikasema jina langu liko usoni kwangu. Kumbe nimekosa! Mwe!
Basi na mimi nangoja jibu lako Mkuu.
Nitatowa jibu la hilo swali langu kwanza nakata nipate mawazo ya watu tofauti kisha ndio nitoe jibu la hili swali. Watu hukuita hata kama wewe hautowaangalia kwa uso wako hata kama ukiwa upo jikoni kwa mfano mke wako si anakuita (Baba Omari njoo hapa) sio lazima mtu akuone sura ndio akuite kwa jina lako upo hapo an mimi? mkuu
 
mzizi mkavu mi nafikiri halipo katika sehemu yoyote ya mwili bali inaweza kuwa identification ya nafsi yako.si unajua nafsi huwezi kuishika.namaanisha anaekuwa kwenye hii kitu tunaita mwili ambae ni nafsi+roho inayobeba taarifa za mambo unayofanya.jina ni kama roho halifi.mwili ukifa jina linaendelea kuwepo kwahiyo sidhani kama lina nafasi mwilini bali ni kwenye nafsi na roho ya mtu.
Ufahamu wangu umegota hapo niko tayari kujifunza zaidi
 
Ashakum! Langu lipo kwenye kiuno ( *****)
Halipo kwenye Kiuno jina lako mkuu.

Ngoja nijaribu, liko kwenye ubongo.
halipo kwenye ubongo jina lako mkuu....

mzizi mkavu mi nafikiri halipo katika sehemu yoyote ya mwili bali inaweza kuwa identification ya nafsi yako.si unajua nafsi huwezi kuishika.namaanisha anaekuwa kwenye hii kitu tunaita mwili ambae ni nafsi+roho inayobeba taarifa za mambo unayofanya.jina ni kama roho halifi.mwili ukifa jina linaendelea kuwepo kwahiyo sidhani kama lina nafasi mwilini bali ni kwenye nafsi na roho ya mtu.
Ufahamu wangu umegota hapo niko tayari kujifunza zaidi
umekosa kunijibu Nauliza tena ( [h=2]je jina lako lipo sehemu gani katika mwili wako?)[/h]
 
Pamoja na kuwa ni watu wazima naomba unijibu hilo swali langu hakuna hata mtu Mmoja aliyeweza kunijibu Swali langu?Ehhhh

Mkuu mie nimekuwa naipitiapitia hii thread ili nione hilo jibu la swali lako....lakini bado naona hutaki kulijibu swali lako :):) naendelea kusubiri. Nitarudi baadaye.
 
mwili wangu ni hekalu la Roho Mtakatifu, jina langu limeandikwa kwenye kitabu cha uzima
pamoja na kuwa mwili wako ni roho lakini mimi nilitaka kujuwa jina lako lipo sehemu gani katika huo mwili wako?

Mkuu mie nimekuwa naipitiapitia hii thread ili nione hilo jibu la swali lako....lakini bado naona hutaki kulijibu swali lako :):) naendelea kusubiri. Nitarudi baadaye.
Nitalijibu lakini nangojea Ma Great thinker wa Jamii forums wanijibu kabla ya mimi kutoa jibu lake sahihi asante mkuu BAK
 
  • Thanks
Reactions: BAK
jina langu liko ktk nafsi yangu coz jina ni intangible huwezi kulishika wala kuliona unalisikia tu so linakuwa ktk kitu ambacho ni intangible ka nafsi au roho

Jah Bless
 
jina langu liko ktk nafsi yangu coz jina ni intangible huwezi kulishika wala kuliona unalisikia tu so linakuwa ktk kitu ambacho ni intangible ka nafsi au roho

Jah Bless
hahahahah bado hujanijibu swali Jah Bless Nauliza tenma jina lako lipo sehemu gani katika mwili wako?

Mzizimkavu bana! ustake kutuletea zile za kiganga kutwambia majina yetu yapo kwenye viganja vyetu vya mikono, hatutokubali aisee hehehe
hahahahahah Mkuu klorokwini ingawa hii klorokwinini dawalakini imeshapitwa na wakati . Nataka unijibu swali langu mpaka sijapata jibu lililo sahihi nauliza tena (Je Jina lako au jina langu lipo Sehemu gani katika mwili wako au mwili wangu?) naomba unipe jibu ....
 
heheeh mkuu ukiona suala limenishinda mimi basi ujue hakuna mzembe mwengine anaweza kujibu hapa JF, tupe jibu tu. Hawa wanaojifanya magreti thinka ni waganga njaa tu hapa JF.
 
heheeh mkuu ukiona suala limenishinda mimi basi ujue hakuna mzembe mwengine anaweza kujibu hapa JF, tupe jibu tu. Hawa wanaojifanya magreti thinka ni waganga njaa tu hapa JF.
hahahaaha Kwa sababu umenijibu hivyo mimi sasa nalijibu hilo swali nililokuwa nawaulizeni . Ni hivi jina lako au jina langu lipo kwenye sehemu ya MaSikioni mwilini mwako. Hilo ndilo jibu Sahihi Kwa mfano wewe ukiwa upo barabarani

mimi nikakuita kwa jina lako kwa mfano nikakuita jina lako ( klorokwini) kitu cha kwanza wewe utasikia kwa masikio yako mawili hiyo sauti aliyokuita ni nani? utageuka na kuniona mimi na kuitikia wito wangu. Mfano wa pili tukiwa tunaishi nyumba moja mimi na wewe, wewe ukawa jikoni mimi

nikawa chumbani nikakuita Mkuu kwa sauti ya juu ( klorokwini) wewe kitu cha kwanza utasikia kwa masikio yako mawili na kunijibu Naam Mzizimkavu unaniita nije? kwa hiyo jina lako lipo masikioni mwako hilo ndilo jibu sahihi asanteni samahanini kwa kukusumbueni sana.
 
swali halieleweki....

Jina lipo kwenye vitambulisho vyangu na karatasi zote zinazonihusu
 
swali halieleweki....

Jina lipo kwenye vitambulisho vyangu na karatasi zote zinazonihusu
mimi huku ninatumia jina feki kwenye hivyo vitambulisho vyangu vya kazi wakati sio jina langu hujaweza kulijibu swali langu nimesha lijibu mimi mwenyewe Mkuu.
 
Back
Top Bottom