Nauliza vipi kazi za udom..... Kimeeleweka kweli?

NGOSWE.120

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
219
233
Wakuu wana JF,

Kama mtakumbuka UDOM walitangaza nafasi za kazi za u-lecturer zaidi ya 100 mwishoni mwa mwezi may, 2011. Je kuna mtu yeyote ambaye aliomba hizo kazi na amepata feedback i.e kuitwa kwenye usaili n.k? au kama kuna mtu mwenye A B C yeyote ile kwa kile kinachoendelea naomba anifahamishe wakuu. Unaweza hata ukani-PM kama hutojali.

I am so curious to know what is going on!

Natanguliza shukrani wakuu!!
 
Wakuu wana JF,Kama mtakumbuka UDOM walitangaza nafasi za kazi za u-lecturer zaidi ya 100 mwishoni mwa mwezi may, 2011. Je kuna mtu yeyote ambaye aliomba hizo kazi na amepata feedback i.e kuitwa kwenye usaili n.k? au kama kuna mtu mwenye A B C yeyote ile kwa kile kinachoendelea naomba anifahamishe wakuu. Unaweza hata ukani-PM kama hutojali.I am so curious to know what is going on!Natanguliza shukrani wakuu!!
naomba mwenye taarifa aziweke hapa jamvin kwa faida ya wote sio aku PM,ni weng tunahitaj kujua
 
Kwa wale wote waliaomba nafasi za kazi udom kama ngozwe na wengine naomba muendelee kuvuta subira kwani kilicho kwamisha kutowa shortlist ni mgomo wa wanafunzi uliyotokeya hivyo wakaamuwa kustopisha kwa muda mpaka mwezi wa nane pamoja na kuwa nafasi zilikuwa mia lakini waliomba wanazidi 300 ila msife moyo kwa wale wote mnaosubiri kwani mnaweza kuwepo kwenye shortlist pamoja na kuwa wanaregard vitu vingi lakini mungu yupo hivyo kama watafuata criteria zinazotakiwa na kuacha undugu pamoja na kuwa hilo jambo kwa sasa kuacha ni ngumu ila mnaweza mkapata kwani kama ni kuja kuanza kazi yenyewe ni mwezi wa kumi mnatanguliya kidogo kabla ya first kuwazili hivyo bado kuna muda
 
lulungen,asante sana kwa taarifa zenye kutupa moyo,endelea kutu update na hzo information,jf iko juu
 
Kwa wale wote waliaomba nafasi za kazi udom kama ngozwe na wengine naomba muendelee kuvuta subira kwani kilicho kwamisha kutowa shortlist ni mgomo wa wanafunzi uliyotokeya hivyo wakaamuwa kustopisha kwa muda mpaka mwezi wa nane pamoja na kuwa nafasi zilikuwa mia lakini waliomba wanazidi 300 ila msife moyo kwa wale wote mnaosubiri kwani mnaweza kuwepo kwenye shortlist pamoja na kuwa wanaregard vitu vingi lakini mungu yupo hivyo kama watafuata criteria zinazotakiwa na kuacha undugu pamoja na kuwa hilo jambo kwa sasa kuacha ni ngumu ila mnaweza mkapata kwani kama ni kuja kuanza kazi yenyewe ni mwezi wa kumi mnatanguliya kidogo kabla ya first kuwazili hivyo bado kuna muda

Asante sana kwa taarifa, japo Kiswahili chako kinanipa shaka kama we ni M_Tz
 
mwala naomba uondoye wasiwasi kwani niliandika jana saa tano usiku nikiwa nimeshikwa na usingizi halafu usishangaekiswahili kuwa magumashi kwani mimi sio mbantu ila nilichokiandika nafikiri inaeleweka mkuu
 
Kuhusu Mzumbe interview tayali..walishaitwa!kaflash kako pemben unamwaga material kwa Powerpoint vs Projector...!it was fantastic!kwa Udom kama wewe n NTA level8 yaan digrii yko inatambuliwa na NACTE hawaitambui,wao wanataka Digrii inayotambuliwa na TCU basi...kwa wale walio chn ya NACTE consder U "disqualified"
 
mmmh! Nidadavulie tofaut kat ya digrii ya NACTE NA TCU
 
Ndugu zanguni naomba niwaelezee kuhusu NTA Levels na NACTE.
NTA ni kifupi cha neno National Technical Awards Kiswahili chake ni Tuzo za Elimu ya Ufundi, hizi ni tuzo za elimu ya ufundi nchini na NACTE ni kifupi cha neno The National Council for Technical Education kiswahili chake ni Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi lililoanzishwa kwa sheria ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Na. 9 ya Mwaka 1997 kwa lengo la kusimamia na kuratibu elimu na mafunzo ya ufundi nchini.
NTA zipo kuanzia ngazi ya 4 -10 ambazo hujulikana kama NTA Levels km ifuatavyo: Basic Technician Certificate (NTA Level 4); Technician Certificate (NTA Level 5); Ordinary Diploma (NTA Level 6); Higher Diploma (NTA Level 7); Bachelors Degree (NTA Level 8); Masters Degree (NTA Level 9); and Doctorate Degree (PhD) (NTA Level 10). unaweza kutembelea www.nacte.go.tz kwa maelezo zaidi.
 
Ndugu zanguni naomba niwaelezee kuhusu NTA Levels na NACTE. NTA ni kifupi cha neno National Technical Awards Kiswahili chake ni Tuzo za Elimu ya Ufundi, hizi ni tuzo za elimu ya ufundi nchini na NACTE ni kifupi cha neno The National Council for Technical Education kiswahili chake ni Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi lililoanzishwa kwa sheria ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Na. 9 ya Mwaka 1997 kwa lengo la kusimamia na kuratibu elimu na mafunzo ya ufundi nchini.NTA zipo kuanzia ngazi ya 4 -10 ambazo hujulikana kama NTA Levels km ifuatavyo: Basic Technician Certificate (NTA Level 4); Technician Certificate (NTA Level 5); Ordinary Diploma (NTA Level 6); Higher Diploma (NTA Level 7); Bachelors Degree (NTA Level 8); Masters Degree (NTA Level 9); and Doctorate Degree (PhD) (NTA Level 10). unaweza kutembelea www.nacte.go.tz kwa maelezo zaidi.
mi sipo huko,kumbe bado naqualify bwana! Lol
 
Kwa kifupi Degree NTA Level 8 na zinazotambuliwa na NACTE na si TCU ni kutoka Tertiary Colleges e.g Ustaw wa Jamii Kijtnyama,IFM,CBE,Mipango Dodoma,NIT,TIA,AIA et al
 
hizo kazi za udom zina memo hadi zilizosainiwa na wafu! sijawahi ona memo nyingi in my life kuzidi hili,lol!

sasa Mamito ukisema hivi mbona unatuvunja nguvu sisi tusio na jamaa wa kutuandikia memos! Unajua this time ndio nataka nione unyama wa ajira za UDOM kama kuna undugu/kujuana au wanazingatia merits kama wanavyotangaza ktk adverts zao! If this will be true, then I will never apply any job to UDOM! And I will conclude the theory of kujuana na unduguzation but not merits as they put their adverts!
 
msiwe na wasiwasi waombaji wenzangu, naamini tutakutana kwenye intavyuu na baadae kazini. Riziki zetu hutoka kwa mungu, achana na vitisho vya memo, kama ipo ipo tuu.
 
Back
Top Bottom