Nauliza tu

Pole sana, hamna benki yenye dharau kama CRDB linapokuja swala la kuibiwa. Wanakusumbua hadi unakata tamaa. Hii ilishamtokea hata jamaa yangu hakupata kitu. Cha kufanya ni kuwareport polisi watakulipa manake they are accountable 4 security of their tenants. Ni uzembe wao kuweka kakamera kamoja kasiko kidhi mahitaji. Poleni aisee du. 1.2 kwa sasa dio kidogo ati.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom