Nauliza tu: Kwanini Zitto hashiriki kwenye M4C? Kwanini yupo karibu sana na CCM?

Wana JF,
imekuwa si kawaida kwa Mh Zitto kuwa kimya kiasi hiki wakati kuna mambo mengi yamejitokeza ambayo wakati wake na kwa hali ya kawaida alikuwa mala nyingi anatoa kauli yake au hata mawazo yake eidha kukemea, kukosoa au hata kuonya.
Mh Zitto ni kiongozi mkubwa wa chama kwa nafasi ya naibu katibu mkuu; kukaa kimya na kutojitokeza katika harakati za chama hata M4C, na kutojitokeza kukemea kitendo cha polisi kuua raia na hata kujionyesha katika shuguli mbalimbali za chama kunatutia wasiwasi juu yake.
Naomba kamanda kwa kuwa wewe ni mwana jf mzuri hebu tuondoe wasiwasi tupe hali halisi juu yako make hata ktk kutoa tamkio la kamati kuu kwa waandishi wa habari wewe hujaonekana!!!

Kamanda Zitto hebu tuondoe ktk mashaka juu yako mkuu. Funguka kaka!
 
Hata Arumeru alikuwepo,huwa wanagawana majukumu kulingana na nani anaweza kufit wapi. Ila la msingi ni na yeye pia kuhakikisha kwenye m4c atinge.
 
yuu karbu kusajiliwa na ccm..cz he's also a fraud leadr..zitto wa 2005s sio sawa na sasa
 
Sijamuona wengi tu, mfano Mdee,dogo, shibuda n.k......Dr Slaa nadhani ndio jukwaa lake kwa sasa
 
Yeye alidai kapangiwa Singida na Mara kama sikosei!
Lakini kama naibu katibu mkuu wa CHADEMA nilitegemea angezunguka na wenzake nchi nzima.
 
Back
Top Bottom